Wa Kwilondo
JF-Expert Member
- Sep 15, 2007
- 1,081
- 313
Gooooo Chadema Goooo Freedom is coming!!!
TLS? NGO ya hovyo kabisa ingawa imekuwepo muda mrefu tu. Wanatafuta ni utajiri kwa kila namna. Wamshauri Mh Mbowe nini cha kufanya kwa hatua hii ya mahakama.Nimetoka kusikiliza redio ya Dochevele ya ujerumani chama cha wanasheria Tanzania kimalani kukamatwa kwa mh mbowe kwa mahakama imekiuka sheria.
Chama cha wanasheria Tanzania (Tanganyika Law Socitiety - TLS) kimesema mahakama haikutumia busara kwenye suala la Mh. Freeman Aikael Mbowe. Rais wa Chama hicho Francis Stolla akizungumza na Radio Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) alisema katika kipindi hiki ambocho bunge la bajeti linakaribia mahakama ingeweza kusubiri mpaka shughuli ya bunge iishe kwani Mbowe ni mtu anayeweza kupatikana.
Aidha amesema hata polisi hawakutumia busara kutomwachia mapema na kumtaka aende mahakamani yeye mwenyewe, kwani ni mtu anayejulikana na si mhalifu sugu.
Mmesema kwa weledi wa kisheria ! na hakuna sehemu mliyosema mahakama imefanya kosa na wala jeshi la polisi limefanya kosa. Well done, mliotoa ni ushauri tu na Mbowe mwambieni hiyo tarehe 24 june afike pale mapemaaaa
duh! Baati yao,leo arusha pasingekalika!!!!!
umepigilia msumali, ccm waliingia choo cha kike