GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
You have to think twice before you spat your rubbish!Kama hujui kufa tazama kaburi! Uliza nini kimetokea huko Tunisia,Misri,Libya,Yemen,Saudia n.k.
Upumbaf,ujinga na unyanyasaji wa Wabunge na Viongozi wa Kambi ya Upinzani wanaoufanya Polisi na Mahakama kwa kujifanya ni VIJIBWA wanaotumwa na serikali ya CHAMA CHA MAGAMBA,MAJAMBAZI na MAFISADI utakuja watokea puani this time.
Hawana risasi za kuwaua mamilioni ya Watanzania waloko nyuma ya CHADEMA.
Kila jambo huwa lina mwanzo na mwisho. Sasa Serikali ya Rais Kiwete tunaiambia hivi huu ni MWANZO MWISHO.Tunajua Kiwete anahusika moja kwa moja na kamata kamata ya viongozi na Wabunge wa upinzani ni ya makusudi ili kutaka kuvuruga nguvu ya Upinzani kwenye Bajeti inayokuja ya 2011/2012.
Hatukubaliani na upuuzi huu.
Mbona na uwingi wenu hamkwenda sasa kumsaidia pale Central Polisi alipokuwa amelazwa sakafuni ? FFU unaambiwa walikuwa 70 ila ni balaa, mlitishwa kidogo tu na maji ya kuwasha mkasambaa wote