Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

chief, sisi wote tumetambua what you're trying to drive at.

listen, chief, and listen good. priority ya kwanza kwenye uchaguzi wa mwaka huu ni kuiondoa CCM madarakani. priority ya pili ni hiyo hiyo. na ya tatu, ya nne, nk, nk.

whether UKAWA na mgombea wao watafaa kama mbadala ama la, that's only a side show to the bigger picture of kicking the monster off the corridors of power. period.
 
Sasa unataka kusema nini?
Unajua ni gharama kiasi gani wameingia kupoteza mkutano wa leo na kuurudia kesho?
Acha utaahira tumia akili hata ya kuvalia nguo.
 
Hivi ukiwa hujafanyiwa jando, akili nae inakuwa na sox pia..?

What is the motives behind this foolish post..?

Lowassa ni Rais...jiandae tu..!!
 
Tujadili hili pls?

Lakini fikra zangu.

"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."

Karibuni.

Kwa hoja yko ulivyoijenga kajili na baba yko,
 
Yule mshairi wa Mwanza ndo alitaka kumuua kwa mineno mizito. Naye kazidi, aliangalia ili iweje huo mkutano wa CCM? Presha ikapanda kama late Emmanuel kule Masasi. Mzee anaumwa, amesema mshairi.
 
We umetoroka mirembe nini?
Sasa unataka tujadili nini hapo.
Hili kombe mwaka huu lazima liende monduli,kuongea maneno mengi haimaanishi kwamba ndio unafaa
 
Hiyo ni janja ya nyani kula hindi bichi, mbona Mhe Mbowe kasikika wakati anaongea? Iweje Mhe Lowasa ashindwe? Ebu tuwe wakweli ktk hili, mzee kachoka inabidi apumzike kwanza-kisa uchovu.
Tena bila aibu mbowe kasema Lowasa hawezi kuzungumza bila vyombo wakati yeye mwenyewe alikua anatumia vyombo hivyo hivyo.kwa hiyo eti wanaahirisha hadi kesho.je imgombea asipotokea kabisa itakuaje
 
Subiri nikilala labda nitaota na kukuelewa
 
Tujadili hili pls?

Lakini fikra zangu.

"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."

Karibuni.



Usitake kudanganya watu mimi nilikuwepo na nimechukua na picha , mitambo ya kwanza ilianza kugoma kabla hata mheshimiwa hajatua chini Mpaka anaingia uwanjani haifanyi kazi makamanda wakaenda kukodi gari jingine limefika nalo likagoma pia, Mpaka hapo nimeamini kuwa Ccm mnatumia nguvu za giza kabisaaaaaaa
Hapa niko guest nasubilia kesho Saa 3
 
Mkuu Root kabla Lowasa hajawasili uwanjani vyombo vilikuwa vinafanya kazi baada ya Lowasa kuwasili ndo mic zikaanza kusumbua hata walipojaribu kutafuta mitambo tatizo bado likajirudia lakini kesho watafanya mkutano kuanzia saa tatu hizo ni kasoro za kawaida.
Lowasa anapendwa sana na wananchi

Mnashindwa kujipanga kwenye vyombo tu ndio mnataka tufanye majaribio kuwapa nchi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom