Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
Fede Masolwa, mpaka hapa tulipofika, kuna lolote umeweza kujifunza?
Unaweza tu kujibu swali hili ukipenda, ila pole kwa kushushuliwa.
Hayo ndiyo mavuno unayopata kwa kukurupuka ovyo.
Mabadiliko hayahitaji maneno wala kusubiri maneno.
Tsunami haizuiwi kwa mikono, maneno na mipasho.
Eti pole kwa kushushuliwa, naona mahaba tuu ndio yanaandika hapa...na kazi maalumu, hoja yangu itabaki palepale.
Kwanini vyombo vitumike na huyu safi mpaka kafanya ishara ya ujinga kwa wanamkutano na huyo mtu wako eti vyombo vimealibika...wakat kelele za mbowe ule muda zingemtosha tuu huyo wako.
Sina mahaba na utaifa, nitachagua huyu na lichama lake ingawa chafu kwa kazi, si huyu wako nimejifunza Zambia kwa Satta.
Last edited by a moderator: