laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,760
Binti kidawa kesho saa tatu asubuhi rais kipenzi cha watanzania atahutubia tena,, ukishampikia chai mumeo karibu kwenye mkutano wa kihistoria
Tujadili hili pls?
Lakini fikra zangu.
"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."
Karibuni.
Hivi hamuoni kuwa hii ni janja ya nyani?
Mzee alikuwa taabani, alipitisha muda wake wa kuchomwa sindano so hakukuwa na namna ni lazima tu ahairishe mkutano.
Eti system mbili tofauti zote ziligoma wakati wa kutaka kuzungumza yeye... Are you serious? hivi wanataka kura ili watuongoze au wajinufaishe wao wenyewe?
Tumes'tuka... hatuwapi kura katu, Rais wetu ni Magufuli
Kwa mtini jifunzeni, ...Ambaye sio wa kuanikwa juani ni yupi? hata Deo filikunjombe alikuwa wa kuanikwa juani?Wakiambiwa mgombea wao mpaka wa kuanika juani hawataki pengine jua leo halikuwaka Tunduma.
Hiyo ni janja ya nyani kula hindi bichi, mbona Mhe Mbowe kasikika wakati anaongea? Iweje Mhe Lowasa ashindwe? Ebu tuwe wakweli ktk hili, mzee kachoka inabidi apumzike kwanza-kisa uchovu.
Mbowe alitumia nini kuwaeleza kama sio vyombo. Lowassa ni mgonjwa na hafai kuwa Rais wa Tanzania.Lowassa ameshindwa kuhutubia leo Tunduma kisa Vyombo vinasumbua.
Katika team yake ya kampeni hakuna aliepanda jukwaani zaidi ya Mbowe kwa dakika moja kuwaeleza wananchi kuwa tatizo ni vyombo.
The guy was dead on his feet and drowsy.
Lawama ziende kwa doctor wake.
Hiyo ya kusema kuna matatizo ya vyombo vya sauti ni danganya toto ya kulazimisha watu wazima!
Mimi sioni hata haja ya LOWASSA, kujihangaisha kuhutubia, Yeye atulie tu, watanzania tumeshamuelewa. Asubiri kuapishwa tu! LOWASSA ndio tumaini lililobaki TANZANIA!
He he he he he he Lowassa mpaka apigwe jeki, I din't know that.Huenda hukumuelewa Mbowe alichomaanisha ni kwamba Lowassa hawezi kuongea bila kumeza vidonge siunajua yule mzee yupo kwenye dozi tatizo sio vyombo mzee anatamani tarehe 25 ifike haraka hali ilishakuwa mbaya!
Mgombea wetu anatukatisha tamaa sana.sijuwi tufanyeje.
Kwa mtini jifunzeni, ...Ambaye sio wa kuanikwa juani ni yupi? hata Deo filikunjombe alikuwa wa kuanikwa juani?
Acheni huo upumbavu wenu nyie wapambe feki wa MAGUFULI!
Waseme ukweli tutawaelewa, hata kama mgombea aliishiwa charge waseme tu!
Tunduma nasikia ilikuwa aibu balaa...Mbowe alimshikilia mwari wake mkono huku akijaribu kuwatuliza wana Tunduma ambao wanekasirishwa na kuwaletea mgombea mchovu...
Yaani naambiwa ni gumzo mji mzima wa Tunduma...wamejione ukiwa ilivyomagumashi...