Steven,
Lugha yako kwa hapo ulipoandika ni ujima sana, yaani primitive. Ungeongea lugha hiyo BC yaani Before Christ, ni sawa kabisa.
Msiangalie vitabu vya dini tu lazima msome na Katiba. Combination of all, then you think critically, huwezi kutawala nchi kama unavyotwala familia yako.
You don’t own anybody!
Kwenye modern world, civilized world lazima uwe na skills siyo unakurupuka tu na kusema at wewe ni mtawala basi uue kama ingekua hivyo dunia sasa hivi ingekua hamna watu.
The difference (main) between man and dog is conscience. Huwezi kuua watu 10k ukawa huna remorse.
ICC wana standard zao, yes lakini hawaangalii upande mmoja hadi mama ntilie watamuuliza kwa uzito uleule.
Ruto na wenzie waliachiwa kwa sababu walionyesha remorse na kukubali hawawezi kurudia. Nyie na huyo Ushungi mko ngangari ati hamkuua, tuliua kidogo, etc
Na Ushungi anacheka na wassira ati tutaua tena. Hivi wewe unafikiri ICC wakisikia haya kuna clemence? Forget