Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,695
- 830,698
Waleteee📌🔨💪🏿
Waleteee📌🔨💪🏿
Waje haraka, wasijiwekee usiku. Tunataka kuona day of reckoning kwa fazafaka wa Kizimkazi na majambazi wake!Tuliwaambia wakati wa AU summit Kombo aliambiwa ICC wanataka majibu ya summons haraka mkajifanya much know.
Swali kuu ni wanakuja kwa ruhusa ya nani?Wanakuja kuonana na nani, hao wauaji pekee, au hata waliodhurika?
Kazi ya hawa jamaa sina mategemeo nayo sana. Wamejivutavuta mno, kama wanashughulikia kesi ya wizi wa kuku!
Wakitaka kuonana na Tundu Lissu, wataruhusiwa?
Na wewe ndiye unayejiona mjanja kwenye kundi hilo la vilaza, si ajabu hiyo?Humu kumejaa ujinga mwingi sana sababu wengi humu wapumbavupumbavu
Hao ICC wakikataliwa visa wana nini cha kufanya zaidi ya kulopolopo
Daah kazi ipo aisee..Swali kuu ni wanakuja kwa ruhusa ya nani?
Na wakikataliwa kuja je ?
Kazi ipo aisee ushawahi kusikia ICJ wajumbe wake wamekataliwa visa ya Nchi yeyote ile kwanza unajua status ya Passport ya wafanyakazi wa ICJ?..hivi ni kweli Watanzania wamefikia kiwango hiki cha uwezo zero wa kufikiri aisee...Humu kumejaa ujinga mwingi sana sababu wengi humu wapumbavupumbavu
Hao ICC wakikataliwa visa wana nini cha kufanya zaidi ya kulopolopo
Povu lote la nini nyumbuNa wewe ndiye unayejiona mjanja kwenye kundi hilo la vilaza, si ajabu hiyo?
Hapa Samia hashughuliki na zile NGO za nchi jirani kama unavyofikiri wewe
Samia hadi sasa ni mfungwa, sasa wewe unataka kumzidishia maumivu huko ndani ya jela alimojiweka mwenyewe, kwa sababu za watu wapuuzi kama wewe makopo.
Sijui nguruwe kama wewe utaishia wapi bila ya huyo shetani mwenzenu!Hakuna kitu nyinyi wendawazimu miaka mitano itaisha hivyo hivyo Samia anatosha
Mimi nikiteseka, wewe nguruwe anayetegemea masalia ya Samia utakuwa na hali gani?.Povu lote la nini nyumbu
Unateseka ukiwa wapi ?
Pole sana, unaamini kabisa ICC wana uwezo wa kulazimisha kuja, aisee ni kama vile unaenda kutapeliwa hata ukiambiwa nini hautasikia
Kazi ipo aisee ushawahi kusikia AICC wajumbe wake wamekataliwa visa ya Nchi yeyote ile kwanza unajua status ya Passport ya wafanyakazi wa AICC?..hivi ni kweli Watanzania wamefikia kiwango hiki cha uwezo zero wa kufikiri aisee...
wewe ni Mental caseMimi nikiteseka, wewe nguruwe anayetegemea masalia ya Samia utakuwa na hali gani?.
Jiandaeni tu kwa hali ngumu inayowasubiri.
Hatusubiri ICC waje kumchukuwa. Wao watangaze tu kwamba ni mhalifu anayetakiwa kujibu mshtaka,. Akiamua kwenda mwenyewe kujibu, hiyo ni heri kwake kuliko kusubiri awajibishwe na waTanzania hapa hapa.
Usiione hhiyo mitutu ukafikiri haiwezi kuwatoa damu kwenye miili yenu pia.
Huu upupu umeutoa kijiwe cha wapi ?AICC wajumbe wake wamekataliwa visa ya Nchi yeyote ile kwanza unajua status ya Passport ya wafanyakazi wa AICC?
Sasa wewe hayo ya kwenda ferry umeyaokota wapi, mbona hayajasemwa hapo kwenye hilo bandiko.ICC hawaji Tanzania kama wewe unavyokwenda ferry kununua samaki, wanazo taratibu zao za kazi.
Jifunzeni kuheshimu dola hamuwezi kuleta ujinga halafu mkaendelea kuchekewa,.
Mamlaka ya nchi lazima yaheshimike kwa raia wote.
Ukweli sasa unakorea. Taratibu mtajikuta hamna pa kukimbilia tena.wewe ni Mental case
Ndio maana kila kukicha unatukanana na watu humu unapenda kujilkweza kwa kitu ambacho hauna ok umeishi nusu ya maisha yako nje ya Tanzania mbona kichwani wa kawaida sana...haya mambo jisifie ukiwa kijijini kwenu huko sio humu ambako watu kuwa nje na familia zao ni kitu cha kawaida tu ila kwa waliobahatisha mnaona kitu cha ajabu sana..Sijawahi kujua viwango vya akili za kibongo sababu nusu ya maisha yangu nimeishi nje ya Tanzania
Mnatia huruma sana, mnaishi kwa matumaini sijui ni kwa sababu ya umasikini hata inawafanya kuamini chochote kinachoonekana kuwa endapo kitafanyika basi mnakigeuza kuwa uhalisia
Inatia huruma sana
Ad hominem fallacyNdio maana kila kukicha unatukanana na watu humu unapenda kujilkweza kwa kitu ambacho hauna ok umeishi nusu ya maisha yako nje ya Tanzania mbona kichwani wa kawaida sana...haya mambo jisifie ukiwa kijijini kwenu huko sio humu ambako watu kuwa nje na familia zao ni kitu cha kawaida tu ila kwa waliobahatisha mnaona kitu cha ajabu sana..
Narudia Tena huu upumbavu umeutoa wapi ?ushawahi kusikia AICC wajumbe wake wamekataliwa visa ya Nchi yeyote ile kwanza unajua status ya Passport ya wafanyakazi wa AICC?.