Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,409
- 5,996
Yale yalikuwa mazingira ya machafuko, mazingira ya mapinduzi. Kwetu ilikuwa kitu kigeni kabisa lakini huko Somalia, DRC na Yemen hali za namna ile ni kawaida kabisa.Kama nyinyi ndio watetezi wenyewe kazi ipo. Kwahio walifuatwa majumbani na kupigwa risasi za vichwa kwasababu walichoma moto vituo vya mafuta?! Hivi huwa mnatafakari kabla ya kuandika? Kwahio mhalifu ukimfuata nyumbani unampiga risasi ya kichwa?
Kunakuwa hakuna sheria kwani nchi imeingie vitani. Wengi wasio na makosa wanapigwa risasi katika siku za namna hiyo.
Waulize wale vilema wa DRC, Liberia na Angola wa miaka ya vita makosa gani waliyafanya mpaka wakastahili ulemavu usio na sababu.
Kwa taarifa yako ukiambiwa mwisho wa kutoka nje ni saa 12 jioni utambue kwamba kinachoendelea huko nje ni hatari tupu kwa uhai wako, zinazoendelea huwa shaba tu.