Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,917
- 49,878
Drc ni raia Gani anaandamana na anapigwa risasi Tena akiwa ameshika bendera ya taifa Hilo?DR Congo wanakufa watu kila siku wala sio ndani ya siku 3 pekee.
Somalia imepata amani ndani ya miaka hii mitatu, kabla ya hapo kuanzia mwaka 1991 watu wamepigwa sana risasi, serikali zilikuwa za mitaa.
Kutoka Pale mtaa wa Congo mpaka ilala soko la mitumba kuna serikali yake, kutoka Ilala mpaka Sharif Shamba kuna serikali nyingine tena, mwenye silaha nyingi anayejua kuzitumia akapata kila alichokitaka.