GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 6,269
- 9,237
VIDEO ZPO POLISI WAKIWAPIGA RISASI WATU AMBAO HAWANA SILAHA MPAKA WATOTO WADOGOICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanza
