Hatimaye Boss kaoa

Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.

Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Wakati anakuchezea wewe.ulikua huchezi!!?

Huu ujinga mtaacha lini!!?

Mwanamme.anakuchezea wakati.wewe unafanya nini!!?wewe humchezei!!?

Kwanini Huwa mnajiona wa thamani.sana kuliko!!?

Alikua hakutunzi!!?hakupi chochote!!?
 
Hayajakukuta Ndio maana unakua hodari kuona wenzako hawajielewi
I’m a yasikukute
Hayanaga mjanja haya
Endeleeni kucomment wajuani na mahodari
Malaika watu wa jamii forum
Hakuna malaika humu wala mtakatifu..we just share our opinions...ulileta uzi humu watu wakakushauri ila uliwajibu kama ulivyoona inafaa..so leo tena tunaendelea kutoa ushauri bi dada.....
Just calm down maisha lazima yaendelee yo have learnt a lesson...siku nyingine hutapata shida...
 
Don't be too much selective its will cost over your life.... By then share your age ..above 28 don't comment .. below that consult for consultation
 
You are so bitter. Namuelewa jamaa kwakweli. He made the right choice. Hakukuchezea, uliuchezea mwili wako wewe mwenyewe. Nakupa hii, ukiamua utameza au kutema, shaurilo.
You are bitter, full of vengeance, huna hekima, unaringia uzuri ushubwada, roho yako nyeusi sana, umejaa maigizo.

Nani kakwambia duniani hamna rejections. Kila siku tunaface rejections mia elfu na bado tunamooove. Hutaki kugrow-up, unatema sumu kwa kila mtu kwani tulikutuma kuja kuyaanika humu. Step up your game miss. Amekukataa, jirekebishe afu jifunze kutuliza nyau ili next time usiumie.

Umemlaani sana kaka wa watu, na mimi nazifuta hizo laana kwa Damu ya Yesu. Ndoa yake itabarikiwa, atalitumikia shauri la Mungu, atafanikiwa yeye na uzao wake, atakuwa kinara maisha yote. Angekua kaka yako anatamkiwa hivyo ungefurahi? Usijidide dii...husda si nzuri kwa mwanamke, zaidi utaonekana mwanga tu. Wanaume kazi mnayo kama wanawake ndo hawa!!!
Bi mkubwa kamaindi
 
Umeleta malalamiko humu as if uliyechezeana naye yupo humu,, anyway mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd,, kuwa mpole bibie 🤩
 
Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.

Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Ulijirahisi mwenyewe ukajifanya danga! Usinilaumu bure! Huna sifa nilizokuwa nazitafuta!
 
Jitathmini bwana unakuta pis kali lakini inanuka pussy au inanuka domo...ukiipiga chini inalalamika mitandaoni
 
Let it go..We hujui Mungu amekuepushia nini.Omba toba na rehema Mungu akukutanishe na ubavu wako bibie.Huyo Boss muache tu na msamehe bure.
 
Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.

Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Unashauriwa kamwe usidate mtu unayefanya naye kaz ofic au taasis moja
 
Lipo tatizo kwako. Unafikiri kwa nini amuoe mbaya,akuache wewe. WANAWAKE WA SIKU HIZI UJUAJI MWINGI. Na mtatumika sana pumbavu sana. Na Hakuna the karma yoyote itamkuta mwamba. Amekosea tu angekupiga na mimba kabisa kwanza ndio atangaze ndoa na mwingine. Kenge nyie
Kwa akili za huyu mwanamke jamaa alifanya jambo la maana kutomtia mimba.
 
Hakuna madam hapo, mkulungwa huyo.
1707857435877.png

😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom