Hatimaye Boss kaoa

Hatimaye Boss kaoa

Wadada wa kawaida silaha yao inakuwa mauno. Warembo silaha yao inakuwa uzuri. Sasa mwamba akikatikiwa akalia kiume anafanya maamuzi ya kushangaza.
Kiuno pekee hakijawahi kuwavusha vicheche popote

Sanasana wanakua kiburudisho tu kama ilivyo nyagi au keivanga
 
Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.

Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked.

Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Changudoa kwenye ubora wako.
 
Labda ukaroge kenge wewe. Hakuna maombi MUNGU anayajibu ya kumuombea mwingine mabaya. MUNGU sio wewe. MUNGU anajibu kwa namna ya ajabu sana. Ukikazana kuombea wengine mabaya utapoteza muda tu. Ukisamehe na kusahau kabisa lakini,narudia lakini iwe umeumizwa kweli kwa Jambo mliloahidiana. Otherwise utapoteza tu muda

ntakuletea mrejesho yatakayojiri kabla mwaka haujaisha panapo uzima kenge mwenzangu
 
huna X-factor na pia you are not '' the woman of substance''
jamaa nilimuuliza swali kwa nini kakuacha akanijib hivyo....na ni kweli mate hufai kuwa mke wake...

Aisee kumbe jamaa mnawasiliana
Enhee niambie Basi hizo x factor zipoje?
Na how to be a woman of substance
 
Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.

Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked.

Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Usikute Karma imeanza kufanya kazi kwako mana huenda nawe kuna mchizi ulimzingua sababu ya huyo bosi wako.
 
Ndiyo kwanza mwezi wa 2 dada. Hakika dada yangu ume uanza mwaka vibaya.
Umechunda Dada.
Ila unajua nini,kasafishe nyota....Tatizo Nyota.
NITAFUTE

ni kweli mwak umeanza vibaya dada mwenzangu
Na kuchunda nimechunda dada kama wewe tu shoga
Ila shoga kama ni nyota unarekebisha Mbn yako Bado unagangaika na maisha yako na yangu na kushinda jamii forum
Unaonaje ukaanza kusafisha yako kwanza shoga?
 
Usikute Karma imeanza kufanya kazi kwako mana huenda nawe kuna mchizi ulimzingua sababu ya huyo bosi wako.

Mbn kama unajiongelea ww na kujipa matumaini
Ww kama uliachwa na demu wako coz of another man ujue hukua na sifa tu
 
Mbn kama unajiongelea ww na kujipa matumaini
Ww kama uliachwa na demu wako coz of another man ujue hukua na sifa tu
Mimi nina mke watoto wako shule, we endelea kusubiri kujirahisisha kwa mabosi huku umri unaenda ukiamini watakuoa mwishowe wanaishia kukuchezea na kuoa wengine.... Jiulize kwanini bosi kaenda kuoa mwanamke mwingine na sio wewe, hapo ni kwamba kaona wewe ni malata na hufai kuitwa mke.Wewe ni wakuliwa tu na kutemwa kama Big G bata wahed
 
No proof ni keypads tu Lolzzz
 
Eti wife material

Tutaona iyo ndoa itakapofikia am here watching

Yani nitafunga na kumuomba Mungu ajibu maombi yangu.

Anhaa Basi kama mm nilikua chaps ilale tutaona yatakayojiri kwa uyo malaya alieolewa atakuja kugongwa na wahuni
Acha ulozi dada...tulia na wewe utapata wako...Kwan alikukuta bikra?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom