Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Yes bebe.Sawa dada mwerevu jamii forum
Yes bebe.Sawa dada mwerevu jamii forum
Baharia kaziniGood morning to the sexiest woman in the whole wide World![]()
Yes
Muda huo wote si angesema mm sikutaki ila kaendelea kunichezea Sasa atakipata kwenye ndoa

kuna vitu vinafurahisha.Hahahaa
Dah
Tembea na Baba yake umkomeshe
Mungu asaidie kuwa hukuwa na nyodo kwa co workers wengine kwa sababu ya penzi ya Boss!!
Hawajanisamehe Mzee, nimetumikia suspension 🤣Naona wame kusamehe ban, mwanetu🙄😆😆
Kwani hapa kati ya wewe na huyo mwanaume wako nani ana hangika??!!Nyie wanaume mnavovitombesha ovyo na kuwazalisha wanawake ovyo mnadhani nani victim mkubwa hapo ni mwanamke
Ndio maana maisha yenu Bado mnahangaika tu na Bado mpaka kua lishuke liwafikie utosini
Nawa omba waku ongeze, maana tuli pata amani😂😀Hawajanisamehe Mzee, nimetumikia suspension 🤣
Kwani hapa kati ya wewe na huyo mwanaume wako nani ana hangika??!!
Mrembo, afadhali hayo maombi yawe ya kumuomba Mungu upate wa kwako.Eti wife material![]()
![]()
![]()
Tutaona iyo ndoa itakapofikia am here watching![]()
![]()
![]()
Yani nitafunga na kumuomba Mungu ajibu maombi yangu
Angekuwa anajifanya yupo na power asinge ku zagamua Nikwamba yupo na power, hawezi kukufukuza kazi maana wewe ni mchepuko wa kudumuNa wao waache kuwala wafanyakazi kwa kujifanya wapo na power
Athubutu kutengeneza mazingira ya kunifukuzisha kazi nitamdhalilisha dunia nzima itajua nina evidence
Lipo tatizo kwako. Unafikiri kwa nini amuoe mbaya,akuache wewe. WANAWAKE WA SIKU HIZI UJUAJI MWINGI. Na mtatumika sana pumbavu sana. Na Hakuna the karma yoyote itamkuta mwamba. Amekosea tu angekupiga na mimba kabisa kwanza ndio atangaze ndoa na mwingine. Kenge nyieHatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.
Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea![]()
Yeye ndio kapigwa karma alimkataa mfanya kazi asiye na cheo akaliwa na bossDua la kuku halimkuti mwewe kamwe, ww ulikuwa nae ki maslahi tu, kwann u date boss wako? Karma from bitch is a big joke... jiandae kuendelea kuwa mchepuko wake tu, hiyo ndio kazi yako
Karima imekurudiCheka , furahia Ona kama masihara lakini I’m a Mungu yasikukute
Anyway matatizo huwa yanazungukaga
Ww jifanye kujiona mwerevu hapa duniani
Karma imekupata wewe uliacha mfanyakazi mwenzio ukatoka na boss,Sina haja hiyo
Karma na nature itafanya kazi yake
Watu wanaoa wanawake wanaojitambua sio wanaoringia sura na makalio wakati kichwani hamna kitu
Sema haya mambo mda mwngn.... unaweza date na wadada wazuri wenye figure kali na wapo vzr kichwani ila ipo siku unatulizwa na mdada wa kawaida sana