Hatimaye Boss kaoa

Hatimaye Boss kaoa

Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kua nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, uyo mwanamke mwenyewe ata sijui why did he choose her over me anyways kuoa Au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.
Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakua banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Good morning to the sexiest woman in the whole wide World😘
 
Kupitia comment hii nimegundua wewe ni DUME. Huu ni muandiko wa kiume kabisa.

Sasa hapa kuna mawili, aidha wewe ni punga kupelekea boss kuamua kuoa mwanamke ama wewe ni kijana wa ovyo unaetafuta attention ya kipumbavu kwa kuanzisha uzi kama mwanamke. Ila wewe ni mwanaume nina yakini pasi na shaka.
😂😂😂😂 Akikujibu nitagg
 
Hivi kumbe ule Uzi wako ilikuwa taarifa ya kweli? Nilidhani ilikuwa ni changamsha kijiwe kama tulivyokuwa tumezoea humu 😜

Anyways, Sisi Wanaume tunaweza kudate na Wanawake hata 3 ama 100 lakini tukachagua mmoja wa kuweza kukaa naye kutokana na element Fulani Fulani ambazo tunakuwa tumeziona kwa huyo binti.

Na huna sababu ya kujilaumu eti kupoteza muda wa kuwa pamoja naye, muhimu ni kuwa you had good time.

Anza kujifunza huyo Mwanamke mbaya aliyeolewa naye kama ulivyosema hapa ana nini cha ziada kuhusu tabia n.k ili nawe uweze kujifunza na ujirekebishe hatimaye upate Mume wako pia.

Usihangaike kuchagua sana, hata akija mzabzab kukutolea mahari mpokee hivyo hivyo muanze maisha ya kubebishana na valentine hii 😜🤗
 
Eti wife material
Tutaona iyo ndoa itakapofikia am here watching
Yani nitafunga na kumuomba Mungu ajibu maombi yangu
Anhaa Basi kama mm nilikua chaps ilale tutaona yatakayojiri kwa uyo malaya alieolewa atakuja kugongwa na wahuni
Why uko so bitter?. Mungu sio Athuman, huwa kuna maombi huyatupilia mbali. Wish them blessings, never curse. Wakwako yupo, just hold the line.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom