Hatimaye Boss kaoa

Mungu hawezi maombi ya kichawi kama hayo,usimjaribu Muumba.
 
Mtuombeeeeeeee
 
Wewe ci uliambiwa kabisa kuwa ana mtu wake, why unalazimisha akuoe, pia wala hatapata kitu dada yangu usimwombee mabaya, tafuta mtu mwingine akuoe
 
Tatizo liliabzia hapa you forced yourself into him, hakuwahi kukupenda, always men dont have choices inapofika sualal la mapenzi kwa sababu mwanaume atakupenda jinsi unavomtendea mambo mazuri na kumfanya mfalme kwakoz so mwanamke mwenzako alikuzidi hapo tu

Soma vizuri uzi huu
 
MLIKUA MNACHEZEANA BANA.
 
jf kuna watu wanamajibu ya kejel mpaka unatamani majini umgekuwa nayo
 
Na wao waache kuwala wafanyakazi kwa kujifanya wapo na power
Athubutu kutengeneza mazingira ya kunifukuzisha kazi nitamdhalilisha dunia nzima itajua nina evidence
ukifanya hivo utakuj kupata pigo lingine na utakuja humu tena kulia ,pole sana kumpa hiyo vagina ukiwa na lengo la kuolewa ,kuolewa ni swala lingine kiujumla unaonekana hukuwa na character za kuolewa naye,Kaa kwa kutulia atakuja wa kufanana nae
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…