Obama piaGhafla nimemkumbuka mizengo pinda.....
Ghafla nimemkumbuka mizengo pinda.....
Kweli nakumbuka nilikataa kulia msibani kwa mama niliumia sana, sana (Binadamu watu wabaya sana ukitaka waone hujaumia wewe cheka watashindwa kukuelewa)Kibingwa ila kwa maumivu mengi
Huwa hamlii kwa sauti tu lakini ndoivosisi huwa hatulii..ila huwa tunatoa machozi
Kumbe mpo mnaolia kisa kuomba Nyapu?? Hahaha mi siwezagi hivyoAcha kabisa in uchuro kuona machozi ya uchungu ya mwanaume.hua anatoa machozi ya njano km ni ya uchungu. Km ni ya kuomba penzi ni meupe.