Hata wanaume hulia

Hata wanaume hulia

Mtu anasaidie kweli hili, sijawahi kulia sehemu yeyote ile tofauti na lakini nicheka sana machozi yenyewe huwa yanatoka!
 
Ghafla nimemkumbuka mizengo pinda.....
upload_2017-4-18_18-32-19.png
 
Acha kabisa in uchuro kuona machozi ya uchungu ya mwanaume.hua anatoa machozi ya njano km ni ya uchungu. Km ni ya kuomba penzi ni meupe.
Kumbe mpo mnaolia kisa kuomba Nyapu?? Hahaha mi siwezagi hivyo
 
Machozi yetu wanaume pale yanapodhihiri hadharani hata mkiwa wawili basi humaanisha sana kuliko vilio vya wanawake kadhaa katika maisha yao ya kwaida
 
Back
Top Bottom