Wanawake acheni kuchagua sana wanaume, mnavunja sana mioyo yao

Unum1_yote

Member
Oct 21, 2023
25
27
Hivi inakuaje wanawake mnakuwa watu wa kuvunja vunja mioyo ya wanaume hivoo? Wanawake mnawatesa wanaume sana hasa kwenye suala la mahusiano, mioyo ya wanaume inavunjwa bila huruma, kuna nyakati hamjali jambo lolote.

Mnatufanya wanaume kuwa wanyonge sana na wenye roho mbaya sometimes. Vitendo vya wanaume vilivyo vingi kwa wanawake vimetokana na wanawake wenyewe, amini ninachokuambia.

Wanaume kutokana na kuteseka juu ya hisia zao tena dhidi ya wanawake waliowapenda sana na wakaishia kuvunjwa moyo na kukatishwa tamaa, yaani walioishia kukataliwa kutokana na hali zao either uduni kiuchumi, muonekano au sababu nyingine yeyote, huacha kuwa na huruma na wanawake.

Hivyo ikitokea akaja akampata, atam-treat the same kama nae alivyokuwa treared kwa maumivu, kudharauliwa na kuvunjwa moyo vile vile.

Wanawake mnaongoza kwa kuweka vigezo vingiii juu ya wanaume mnaowataka na hela ikiwa kama kigezo kikuu, yaani kigezo namba moja.

Mnasahau kuwa watu kuwa hivo walivyo sio wao waliamua, kama mtu hana pesa, hana muonekano yaani sio handsome, hana kimo kirefu, kama sio mweupe au kama sio mweusi, kama hana ndevu na n.k, sio kwamba yeye ndio alipanga avikose hivyo vitu, Lahasha.

Sasa inashangaza na inaumiza sana tena sana vigezo hivi kuwa fimbo au mwiba mchungu kwa wanaume kiasi cha kutoheshimu hisia zao kama binadamu. Inauma sana na inakatisha tamaa sana, basi tu.

Nyie wanawake hizi depression mnazotupa wanaume, haya mahangaiko ya kifkira au kisaikolojia mnayowapa wanaume si bure, yatawapata nanyi vivo hivyo.

Ndio maana mtaani wanawake wenye umri wa kuolewa wapo wengi na hawajaolewa, na hii ni kutokana na ukweli kwamba wamezidisha vigezo vya nani ni mume bora kwao.

Mume bora kwao ni yule mwenye pesa tayari, mwenye maisha ya kifahari, mwenye muonekano wa kuvutia. Hekima, busara, utu wema, tabia njema na mapenzi ya dhati havina nafasi tena kwenye mahusiano.

Sasa wanaume nao kwa kujua mnachotaka nao wana slogan yao kuwa watawapa mtakacho ila kwa sharti la kuwaachia utu wenu. Watawapa pesa ila watawatumia kwa ajili ya kuridhisha hamu za miili yao lakni pia hawatawaoa ninyi.

Kifupi ni kwamba mtaendelea kuwa bidhaa au magari ya umma kiasi kwamba mtu atapanda pale anapokuwa na uhitaji tu na atashuka popote anapojisikia yeye, na kwa hali ilivyo mpaka kufikia 2030 tutakuwa na ma single mama wengi kuliko wanawake watakaokuwa kwenye ndoa.

20231012_115959.jpg

View attachment 2791150
Principles tu.
#1. Linda sana moyo wako kuliko VYOTE ulindavyo, maana humo ndipo zitokapo chemichemi za uzima wako.
#2. Ishi na mwanamke kwa AKILI.
Naomba kuwasilisha.
 
Pole sana mkuu.

Nawe endelea kuchagua maana maisha ni kuchagua.
 
Mada nzuri ila ndefu.... anyways Dunia haiko fair,huyo anayekuvunja wewe moyo Kuna mahali yeye moyo wake unasagwa...so usijali,karma haijawahi forget adress
Principles tu.
#1. Linda sana moyo wako kuliko VYOTE ulindavyo, maana humo ndipo zitokapo chemichemi za uzima wako.
#2. Ishi na mwanamke kwa AKILI.
Naomba kuwasilisha.
Asante kwa utililivu wa busara na hekima kubwa mkuu..
Na naichukua hiyo falsafa yako kama nguzo kuu itakayonilinda kwenye dhoruba...
 
Back
Top Bottom