Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Hahaha
Sitapata hiyo nguvu ya kukimbia, nitakusadia kulia tena nitalia kuliko wewe

Hahaha
Sitapata hiyo nguvu ya kukimbia, nitakusadia kulia tena nitalia kuliko wewe

Bibie una huruma,yaani now nimekaa machozi yananitoka,ungekuwepo ukalia ningefarijikaNione yooote, ila sii mwanaume akilia jamani...
Inauma, huwa naumia seriously hata kama Simjui nitajikuta nami nalia

Hahaa hivi huyu mzee yupo..yaani alipiga ukunga bungeni kama mtoto kachomwa na mwibaGhafla nimemkumbuka mizengo pinda.....
Obama jamani siku ile anaaga white house alimimimika chozi dah ilinigusa
kuna wanaume wanapenda wake zao asikwambie mtu.
Wanawake tunalia sana hasa kwa kuumizwa na wanaume .
Ukiona mwanamke analia kwa ajiri yako jua ipo siku nawe utalia kwa uchungu

Powerful comment![]()
Sure and perfectly, men do cry, even when they know their forgery av bn discovered. Tear of sympathy.![]()
![]()
![]()
![]()
Pole mwayaBibie una huruma,yaani now nimekaa machozi yananitoka,ungekuwepo ukalia ningefarijika![]()
huu uzi aisee umenipa huzuni sana.. kuna siku nilijikuta nalia mbele za watu tena kwa kusikika kabisa baada ya kuona mwili wa rafik yangu kipenz ukiwekwa kuagwa... iliniuma sana... tena sana.. sipendi kulia ila nilishindwa!