Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Iyola99

Member
May 16, 2022
63
320
Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.

Sijapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nini Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie simu usiku nina mke Mara naogopa tutagombana.

Wakat inbox unanitongoza unadai upo single chefu
Halafu wanaume wa JF ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu

Sasa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan ulivyo muongo afu eti Sina mke nataka uwe mke wangu

Mtchewwww Hapo Hapo usipige simu nipo kazini mara sasa hivi usiku babe, babe ya nyoko MNITUE NA INBOX YANGU NAFUNGA

Yaani JF kwa kuact magenius kumbe makopo

Halafu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono kwanza umenishangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia nataka kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui

Yaani jamani ukiomba mchumba JF shughuli ipo

Aaah wakaka hawataki upendo kwanza first day wanataka
Ukimwi hautaisha

MTU hata hujawai mwona. Humjui ndio first date na unaomba chefu
 
Humjui ndo first date na
emoji97.png
emoji533.png
unaomba
She Quoted you , pretty amazing huh
 
Humu Jamii Forums kila kitu hakina uhalisia uongo, utapeli kujifanya maisha ya juu. Nakumbuka mwaka 2010 kuelekea 2011 kulikuwa na mpango wa kuanzisha Jamii Empowerment Saccos yaani kuna mtu alikuwa ni mstaarabu sana na alikuwa ni kivutio kwa jukwaa la MMU na katika huo mchakato yeye alikuwa kama Excutive Secretary akaniazima laki 3. Nilimdai mpaka nilichoka na akaamua kuni block na humu JF simuoni tena.pole kwa yaliyokukuta humu JF watu wanaiwanaishi maisha ya kuigiza.
 
Back
Top Bottom