waya hizo za kopaHuyu jamaa kama wiki moja imepita nimekutana nae anaendesha gari moja zuri sana mitaa ya Kinondoni
Mkuu umeshasema wezi wakubwa kwani hujui sheria za nchi hii zina deal na wezi wadogo tu??...Mbona wezi wengine wakubwa wako huru?
Yes, Makamu Mwenyekiti Simba
Kwani huyo Mintanga kesi yake iliishaje? Nakumbuka aliwekwa kizini lakini sikusikia kama alipandishwa kwa Pilato!Inabidi upekuzi ufanyike viongozi wote wa vyama vya michezo kwani hata mzee Mitanga naye mambo yake yalikuwa ya utata hivyo hivyo mpaka siku ya siku ilipofika