Hassan Othman Hassanoo mikononi mwa polisi

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Ni siku ya tatu sasa, anashikiliwa kwa kuhusishwa na tuhuma za wizi wa Copper yenye thamani ya TZS 400mil.

Yupo Polisi Oysterbay.

Habari zaidi tutaendelea kufahamishana

================
1 Sept, 2011 - As per Mwananchi paper

hasanoo.jpg
 
Huyu jamaa kama wiki moja imepita nimekutana nae anaendesha gari moja zuri sana mitaa ya Kinondoni
 
Inabidi upekuzi ufanyike viongozi wote wa vyama vya michezo kwani hata mzee Mitanga naye mambo yake yalikuwa ya utata hivyo hivyo mpaka siku ya siku ilipofika
 
Asante mkuu natumaini hii kesi itaendeshwa bila zengwe ili kila mtu apate analostahili!
 
Inabidi upekuzi ufanyike viongozi wote wa vyama vya michezo kwani hata mzee Mitanga naye mambo yake yalikuwa ya utata hivyo hivyo mpaka siku ya siku ilipofika
Kwani huyo Mintanga kesi yake iliishaje? Nakumbuka aliwekwa kizini lakini sikusikia kama alipandishwa kwa Pilato!
 
Sasa jioni leo K - Shop kutakuwa na huzuni toka kwa wale friends of Simba

30670_627861285820_202901040_37266147_3712815_s.jpg


mkandara na Halisi mna lakusema?

Mie nishashiba maposho s=posho ya Iddi sidhani kama wataniona mpaka next week
 
Back
Top Bottom