Hassan Othman Hassanoo mikononi mwa polisi

Hahaha,

Mkuu, ninayekuandikia yawezekana NDIYE ninayemhoji... So, do not call me JF, call me Invisible.
Invisible, the Hassanoo I know used to be a wise guy, and he's smart.
Anafanya biashara ya 'scraps' - metal, plastics ect.
Traed on this information kabla hatujaambiwa JF wambeya.
Behind the Scene: Huyu jamaa kwao ni Magomeni mtaa wa Idrissa, lakini usiku kucha yuko KKoo au kwenye yard zake za vyuma chakavu and alwyas has his silenced pistol on a ready.
 
hassanoo.JPG

du?? huyo pembeni siyo mzee Lundenga? na hawa mamiss?
 
dah kwani ni makam bado au kashamaliza muda wake?

maaana yasije kuwa yale ya mh lema..
 
Mimi ni Yanga dam lakini as long as Simba mlianza kuingiza watu wa ajabu ajabu kwenye Khitma yenu mwaka jana nikajua tuu mmekwisha. Pale kijiweni nako kilichobaki ni kukimbiana

Lakini haishangazi sana kwani kugeukana ndio kawaida ya Simba na watu wao. Huwezi kuamini wamefungua kijiwe kingine kule Guangzhou nako khatari...na usiku kucha hawalali pale hotelini

Lakini kwa kuelewa Simba wanavyopenda kupigana damu bas sitoshangaa 6 na Kaouya wakaingilia kumwokoa mwenzao kwani Friends of Simba pesa wanayo

Ohhh trick nyingine...K-tea shop usinywe chai na vikombe vyako pale ukitoa order agiza kikombe cha platic watakuchaji shilingi 100 more lakini uko poa

Muulize Halisi kama babu yupo?
Mimi ushabiki nimeuacha zamani kwa sababu leo hii hakuna Yanga wala Simba. Sisi enzi zetu ushabiki ulikuwa na starehe lakini toka vyama hivi vimeingiliwa na wasiojua mpira imekuwa ushabiki kama wa Arsenal na ManU..Na kusema kweli hata K tea shop sio ile ya zamani kwa sababu sasa hivi kunaingia maswala ya rangi na utengano fulani yaani classes zinaanza kujitokeza waziwazi hata ktk vijiwe vya mjini..huwezi kuamini leo hii sii Simba, yanga ,Manu, Arsenal wala Baca..kwa sababu najua imekuwa biashara tu team itakayo cheza vizuri ndiyo nitaipa kura yangu. Bora nicheze tombola lna kupasua bingo kuliko kushabikia team ambazo the're for nothing but MONEY!....

Binafsi sielewi tunaelekea wapi lakini INATISHA na ndio maana siwezi kumwekea dhamana Hassanoo lakini hili la kuiba gari?..Duh mnakumbuka hata zile enzi za kuleta magari ya wizi toka Botswana na South watu kama Hasanoo walikataa hata kununua magari hayo acha kujihusisha na biashara haramu leo huyo kawa ndio mwizi mwenyewe?.. ama kweli dunia hii, hujafa hujaumbika!
 
Invisible, the Hassanoo I know used to be a wise guy, and he's smart.
Anafanya biashara ya 'scraps' - metal, plastics ect.
Traed on this information kabla hatujaambiwa JF wambeya.
Behind the Scene: Huyu jamaa kwao ni Magomeni mtaa wa Idrissa, lakini usiku kucha yuko KKoo au kwenye yard zake za vyuma chakavu and alwyas has his silenced pistol on a ready.

Usiku wa manane? au ndio ile mifuniko ya majitaka ndio inavyopotea?.........sasa bastola ya nini mpwa?......pole INV
 
Ndio maana hawa jamaa wana hela nyingi sana za kufadhili simba/yanga..kumbe dili zao ndio hizi!
 
.......Anafanya biashara ya 'scraps' - metal, plastics ect. Traed on this information kabla hatujaambiwa JF wambeya.
Behind the Scene: Huyu jamaa kwao ni Magomeni mtaa wa Idrissa, lakini usiku kucha yuko KKoo au kwenye yard zake za vyuma chakavu and alwyas has his silenced pistol on a ready.

Chuma chakavu kimeanzia wapi na kuishia wapi? Hakuna kipimo .......... mataruma ya reli, mabaki ya magari ya wizi, mifuniko ya karo na hata hiyo shaba inachanganywa kwenye 'chuma chakavu'.

Hivi mfanya biashara hana hata TIN lakini ni multi millionnaire, na anaishi maisha ya kifahari ukilinganisha na kipato chake. Kama sio wizi au ujambazi ni nini?
 
Mimi ushabiki nimeuacha zamani kwa sababu leo hii hakuna Yanga wala Simba. Sisi enzi zetu ushabiki ulikuwa na starehe lakini toka vyama hivi vimeingiliwa na wasiojua mpira imekuwa ushabiki kama wa Arsenal na ManU..Na kusema kweli hata K tea shop sio ile ya zamani kwa sababu sasa hivi kunaingia maswala ya rangi na utengano fulani yaani classes zinaanza kujitokeza waziwazi hata ktk vijiwe vya mjini..huwezi kuamini leo hii sii Simba, yanga ,Manu, Arsenal wala Baca..kwa sababu najua imekuwa biashara tu team itakayo cheza vizuri ndiyo nitaipa kura yangu. Bora nicheze tombola lna kupasua bingo kuliko kushabikia team ambazo the're for nothing but MONEY!....

Binafsi sielewi tunaelekea wapi lakini INATISHA na ndio maana siwezi kumwekea dhamana Hassanoo lakini hili la kuiba gari?..Duh mnakumbuka hata zile enzi za kuleta magari ya wizi toka Botswana na South watu kama Hasanoo walikataa hata kununua magari hayo acha kujihusisha na biashara haramu leo huyo kawa ndio mwizi mwenyewe?.. ama kweli dunia hii, hujafa hujaumbika!

sasa jiulize swali

Maskani kwenu kwanza kuna watu dizaini 4 hivi. Kuna akina nyie watu wa ulaya mliokuja na tsheti zenu mpya na raba zenu za airforce 1 na mkija pale of course mnaonekana watu wa short time aka WATU WA JUNE/JULY hamkanyagi minazi mirefu mpaka ticket zipungue bei na mpaka watoto wafunge shule na of course ushabiki wenu wa simba ni uleee wa enzi za akina marehem JUMA SALUM

Then kuna lile kundi la watu wa ULAYA wale ambao recession imewakimbiza ulaya na bado simba wanaipenda sema ndo kurudi ulaya nako ngumu kwa hiyo wanaishia kubanana nanyi pale na if anything unakuta mtu ana lap top zake kama 7 hivi anakuwa anazipiga ili kumaintain kuishi maisha ya kibongo (gari, dreva, sim including kulipia bbm 40 g kwa mwezi, mpishi na na mfanyakazi wa kawaida na bila kusahau nauli za kwenda burundi kununu shaba etc) hawa upenzi wao wa simba haupishani na hilo kundi la awali.

Halafu kuna wale waliokosa visa za kwenda ulaya na waliopigwa bomba sasa wakaamua kujiseti bongo na maisha ya kibongo bongo kwa hiyo dili zote kuanzia kuweka minara ya simu mpaka kupiga mafuta machafu bandarini na kununu dizeli na petroli pale juu kilimani BP wamo...in short hawa walijiseti na uwondo utaona wanzungusha na viji scudo mjini na watoto wao walau wana soma Laurette...na hawa ndio hapo jamaa zao akina Asanoooo....neshno utawakuta kule juuu kwenye tiket za laki 2 mbili upande wa Simba

Then kuna kundi ha CHINA kaka hawa hawawezekaniki...majumba katibuni asilimia 90 ya kutisha mjini ni hao wenye pesa za China....K-tea shop ni kuja ku catch up na jamaa tuu hapo..sasa kama dil naona ni makundi hao ya mwisho yale yalee ya muuzaji na mununuaji kwa ajili ya kupeleka sokoni na Simba wanaipenda damu lakini si unajua asli ya simba ni Yanga na yanga ilikuwa timu ya working class ilihali simba ni tim ya matajiri

upo hapo kaka?
 
invisibble: point of collection hasanol c makamu mwenyekiti wa simba..makamu simba ni Godfrey nyange kaburu..hasanol mwenyekiti chama cha soka pwani (corefa).

Point of collection ? lol
He said aliwahi, not now whichi is true....!!
 
Chuma chakavu kimeanzia wapi na kuishia wapi? Hakuna kipimo .......... mataruma ya reli, mabaki ya magari ya wizi, mifuniko ya karo na hata hiyo shaba inachanganywa kwenye 'chuma chakavu'.

Hivi mfanya biashara hana hata TIN lakini ni multi millionnaire, na anaishi maisha ya kifahari ukilinganisha na kipato chake. Kama sio wizi au ujambazi ni nini?
bitimkongwe, Hasanoo ni maarufu kwa biashara ya vyuma chakavu hadi mh. Hamad Rashid wanajuana. Tanesco, Tazara, TRC enzi hizo ni mtu amefanya kazi ya kukata vyuma vya chakavu vizuri sana. Nina mashaka hii isijekuwa ni kumharibia.
 
Pole Kamaanda, Hassanoo. hii ndiyo milima na mabonde ktk maisha.
 
bitimkongwe, Hasanoo ni maarufu kwa biashara ya vyuma chakavu hadi mh. Hamad Rashid wanajuana. Tanesco, Tazara, TRC enzi hizo ni mtu amefanya kazi ya kukata vyuma vya chakavu vizuri sana. Nina mashaka hii isijekuwa ni kumharibia.

Sikukusudia yeye moja kwa moja lakini hili linaeleweka na liko wazi kwa wengi na wala tusidanganyane.
 
sasa nchi hii ni idara gani safi?baadhi ya viongozi wa vyama vya michezo nao wamo,kumbukeni ndondi na madawa ya kulevya, baadhi ya viongozi wa dini nao wadawa..
 
sasa jiulize swali

Maskani kwenu kwanza kuna watu dizaini 4 hivi. Kuna akina nyie watu wa ulaya mliokuja na tsheti zenu mpya na raba zenu za airforce 1 na mkija pale of course mnaonekana watu wa short time aka WATU WA JUNE/JULY hamkanyagi minazi mirefu mpaka ticket zipungue bei na mpaka watoto wafunge shule na of course ushabiki wenu wa simba ni uleee wa enzi za akina marehem JUMA SALUM

Then kuna lile kundi la watu wa ULAYA wale ambao recession imewakimbiza ulaya na bado simba wanaipenda sema ndo kurudi ulaya nako ngumu kwa hiyo wanaishia kubanana nanyi pale na if anything unakuta mtu ana lap top zake kama 7 hivi anakuwa anazipiga ili kumaintain kuishi maisha ya kibongo (gari, dreva, sim including kulipia bbm 40 g kwa mwezi, mpishi na na mfanyakazi wa kawaida na bila kusahau nauli za kwenda burundi kununu shaba etc) hawa upenzi wao wa simba haupishani na hilo kundi la awali.

Halafu kuna wale waliokosa visa za kwenda ulaya na waliopigwa bomba sasa wakaamua kujiseti bongo na maisha ya kibongo bongo kwa hiyo dili zote kuanzia kuweka minara ya simu mpaka kupiga mafuta machafu bandarini na kununu dizeli na petroli pale juu kilimani BP wamo...in short hawa walijiseti na uwondo utaona wanzungusha na viji scudo mjini na watoto wao walau wana soma Laurette...na hawa ndio hapo jamaa zao akina Asanoooo....neshno utawakuta kule juuu kwenye tiket za laki 2 mbili upande wa Simba

Then kuna kundi ha CHINA kaka hawa hawawezekaniki...majumba katibuni asilimia 90 ya kutisha mjini ni hao wenye pesa za China....K-tea shop ni kuja ku catch up na jamaa tuu hapo..sasa kama dil naona ni makundi hao ya mwisho yale yalee ya muuzaji na mununuaji kwa ajili ya kupeleka sokoni na Simba wanaipenda damu lakini si unajua asli ya simba ni Yanga na yanga ilikuwa timu ya working class ilihali simba ni tim ya matajiri

upo hapo kaka?
Aaaah yamekuwa hayo tena.. lakini mimi sii mmoja wa makundi lhayo, mkuu wangu naingia Bongo na kujichimbia zangu uswahilini maisha kama nilikuwepo jana..Makuu ya nini wakati huwezi kushindana na watu waliokuja na hasira ya maisha, wee nenda Nyumbani Longe kajionee mwenyewe watu wakivunja Moet kama hawana akili, makalio yanavyolia mbwata!

Pamoja na yote haya mkuu wangu, maadam Simba na Yanga za leo hazina vijana wa mjini wazawa au waliokulia Dar inakuwa vigumu mimi kushabikia team ambayo wachezaji wake hawajui hata kuongea kiswahili...Mpira kwangu ni social activity, tukitoka mpirani maneno Rungwe Oceanic na kumalizia usiku Bilcana/Msasani au Africana zile enzi zetu, siku hizi sii mpira tena umekuwa biashara, maonyesho na hadaa kiasi kwamba hata Mh. JK alituahidi Taifa stars kufika World cup 2010, hatukuvuka hata round ya kwanza.. Kwa hiyo sishangai kwa lolote!
 
Kaka yangu Mkandara kwani jina lako ni la Vijana wa Mjini? kumbuka kaka Dito alisha sema kuna wengine wameingia mjini hata kula chapati hawajui? na Mwl JK kwenye hotuba yake ya 1995 kama alivyo zungumzia kuhusu ubaguzi, alisema mtakuja kuwatoa wapemba , mta choma maduka yao baadae mta sema ah na ya wachagaa je! Darisalama (dar es salaam ) kuna wazawa bwana! mwisho wa kunuku.
 
Kaaazi kweli kweli! Ipo siku tena haiko mbali uchumi wetu utaporomoka jumla kama tutaendeleza bidii ya kuujenga kwa wizi,rushwa na biashara nyingine haramu! Mambo ya ulimwengu wa leo yanabadilika haraka haraka sana na naona we are totally blind to learn the signs of changes! Times change!
 
Back
Top Bottom