Straight corner
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 385
- 132
Kama sijakosea nakumbuka Kova alisema nyumba na mtuhumiwa hawataoneshwa hadharani kuwa ni siri! Hii ndo sababu ya mijizi kuongezeka nchini, endeleeni kuiweke hadharani ili tuitambue!
Inabidi upekuzi ufanyike viongozi wote wa vyama vya michezo kwani hata mzee Mitanga naye mambo yake yalikuwa ya utata hivyo hivyo mpaka siku ya siku ilipofika
yes,exactly! Bt aliwah kuwa makamu mwnyekiti enzi za dalali.invisibble: point of collection hasanol c makamu mwenyekiti wa simba..makamu simba ni Godfrey nyange kaburu..hasanol mwenyekiti chama cha soka pwani (corefa).
Imenibidi nicheke tufriends of Simba K TEA SHOP wamekwisha!
Tumekupata mzeeinvisibble: point of collection hasanol c makamu mwenyekiti wa simba..makamu simba ni Godfrey nyange kaburu..hasanol mwenyekiti chama cha soka pwani (corefa).
isipokuwa mimiaaah......karibu wote nchi hii ni wezi......
Sliding, Mkuu hizi habari nazipata sasa hivi na kusema kweli bado siwezi kuamini kwa sanbabu namfahamu Hassanoo kwa karibu sana. Hii habari ya wizi kusema kweli inanipa wasiwasi mkubwa ingawa siwezi kumwekea mtu yeyote dhamana..friends of Simba K TEA SHOP wamekwisha!
Sliding, Mkuu hizi habari nazipata sasa hivi na kusema kweli bado siwezi kuamini kwa sanbabu namfahamu Hassanoo kwa karibu sana. Hii habari ya wizi kusema kweli inanipa wasiwasi mkubwa ingawa siwezi kumwekea mtu yeyote dhamana..
Na kama kweli duh! kweli K -TEA shop tumeadhirika!
mkuu tusubiri habari zaidi...! lakini kama kweli jamaa ni mzee wa "scraper" basi inaashiria kuwa hata ule mzigo wa copper unaweza kuwa wake! tuvute subira lakini!Invisible, the Hassanoo I know used to be a wise guy, and he's smart.
Anafanya biashara ya 'scraps' - metal, plastics ect.
Traed on this information kabla hatujaambiwa JF wambeya.
Behind the Scene: Huyu jamaa kwao ni Magomeni mtaa wa Idrissa, lakini usiku kucha yuko KKoo au kwenye yard zake za vyuma chakavu and alwyas has his silenced pistol on a ready.