YES! Starlet nyekunduHuyu jamaa kama wiki moja imepita nimekutana nae anaendesha gari moja zuri sana mitaa ya Kinondoni
hapo kwenye red, kidhungu biiiiiiiiiiiiiiiiiig problem, ni correctioninvisibble: Point of collection hasanol c makamu mwenyekiti wa simba..makamu simba ni godfrey nyange kaburu..hasanol mwenyekiti chama cha soka pwani (corefa).
Hasanoo na kaka yake mbunge wa Mafia pia wanafanya biashara ya nyara za taifa kupitia mradi wao wa kufuga mamba n.k.Invisible, the Hassanoo I know used to be a wise guy, and he's smart.
Anafanya biashara ya 'scraps' - metal, plastics ect.
Traed on this information kabla hatujaambiwa JF wambeya.
Behind the Scene: Huyu jamaa kwao ni Magomeni mtaa wa Idrissa, lakini usiku kucha yuko KKoo au kwenye yard zake za vyuma chakavu and alwyas has his silenced pistol on a ready.
hapana ndugu yangu usinielewe vibaya kwani Kanisani wanaingia Wakristo haina maana wengine hawaruhusiwi lakini kanisa likijaa baniani linakuwa sii kanisa tena! - Wachagga na mpira wapi na wapi! Mengine tuyakubali jamani hakuna ubaguzi...Haaa! haa! haaa!Kaka yangu Mkandara kwani jina lako ni la Vijana wa Mjini? kumbuka kaka Dito alisha sema kuna wengine wameingia mjini hata kula chapati hawajui? na Mwl JK kwenye hotuba yake ya 1995 kama alivyo zungumzia kuhusu ubaguzi, alisema mtakuja kuwatoa wapemba , mta choma maduka yao baadae mta sema ah na ya wachagaa je! Darisalama (dar es salaam ) kuna wazawa bwana! mwisho wa kunuku.
friends of Simba K TEA SHOP wamekwisha!
nothing is free like free landhawa jamaa ndio mchezo wao hata kassim dewji hujishughulisha na biashara ya nyara za serikali na ushahidi upo!simba,yanga,moro utd,lyon ni migongo tuu ya kuficha maovu yao
Mkuu Wambandwa,Invisible, the Hassanoo I know used to be a wise guy, and he's smart.
Anafanya biashara ya 'scraps' - metal, plastics ect.
Traed on this information kabla hatujaambiwa JF wambeya.
Siyo viongozi wa michezo tu, hata wa kisiasa. Jamii ina wasiwasi sana na wanasiasa kama Mbunge Lema kuotokana na historia yake ya kihalifu kabla hajawa Mbunge.
tunaongozwa kisanii.Nchi yetu ya Kisanii... Tumekaa kisaniisaniii...
Pole sana mpiganaji, nahisi hizi zitakuwa njama za YANGA!
<br />Hasanoo na kaka yake mbunge wa Mafia pia wanafanya biashara ya nyara za taifa kupitia mradi wao wa kufuga mamba n.k.
hapana ndugu yangu usinielewe vibaya kwani Kanisani wanaingia Wakristo haina maana wengine hawaruhusiwi lakini kanisa likijaa baniani linakuwa sii kanisa tena! - Wachagga na mpira wapi na wapi! Mengine tuyakubali jamani hakuna ubaguzi...Haaa! haa! haaa!