Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,509
- 80,258
Pitia vizuri hii habari utagundua huyu binti si wa mama Janet Museveni! Ni wa mwanamke mwingine! Pia google utaona hii habari!Wake wawili watoke wapi tena ndugu yangu?
Pitia vizuri hii habari utagundua huyu binti si wa mama Janet Museveni! Ni wa mwanamke mwingine! Pia google utaona hii habari!Wake wawili watoke wapi tena ndugu yangu?
3. Ameachia ngazi anaandaliwa kuwa rais kwasasa na hivi sasa anayajenga na Rwanda, ndani ya mwezi mmoja ametembelea Rwanda mara 2 kwani PK ndiye role model wake katika uongoziMuda si mrefu Uganda itakuwa inatawaliwa na familia ya mseveni na marafiki zake
1. Museveni raisi tangu 1986
2. Janeth museven waziri
3. Lt. Gen. Muhozi kainerugaba ni kamanda kamandi ya nchi kavu ( land force commander)
Una tegemea Nini?
Si binti yao? Shida iko wapi?Museveni amepigwa stop na mkewe kuhudhuria hiyo harusi.
Unaweza ukawa presidaa lakini mbele ya waifu huna kauli.
Ispokua Mimi tu.
Ni mtoto wa mke mwingine wa msevenSi binti yao? Shida iko wapi?
Au
mngekutana wapi nduguyanguAolewe tu mie vimbaumbau hamna
Nilikuwa natafuta hili.Huyo ni mdogo wake na ndie Wakala wa uporaji na Msafirishaji mkuu wa mazao ya misitu ya Congo miaka na miaka
Hilo jina alilitumia kuficha identity yake na mahusiano yake na Yoweri wakati wa Mapambano
Mtu mbad huyo..haguswi na mtu afrika nzima..ukimgusa huyu umeenda vita na ugandakumbe Yoweri Museveni brother wake anaitwa Salim Saleh! oooooorait.
Hawa wote ni watusi
Takbiiirkumbe Yoweri Museveni brother wake anaitwa Salim Saleh! oooooorait.
Sijawahi kusikia harusi ya Wamakua hapa Mjini. Mabinti wa kichaga ndo kila kituMuseveni ni munyankole ambao ni wajomba wa Tutsi.
Kama wamakua na wamakonde
kiujumla uganda imevamiwaa
Kwanini alikatazwa mkuu?Museveni amepigwa stop na mkewe kuhudhuria hiyo harusi.
Unaweza ukawa presidaa lakini mbele ya waifu huna kauli.
Ispokua Mimi tu.
Binti Ni mtoto wa nje ya ndoaKwanini alikatazwa mkuu?
Oooh...asante mkuu.Binti Ni mtoto wa nje ya ndoa
Hajajazia neema za Allah!!Aolewe tu mie vimbaumbau hamna
Kuna mstari umesema "....and his second wife..."Wake wawili watoke wapi tena ndugu yangu?
Museveni Hana mke wa pili Ila ana michepuko na amezaa nao. Nyege ziko pale pale hata Kama wewe Ni rais au waziri mkuu au mkuu wa mkoa au hausboiKuna mstari umesema "....and his second wife..."
Kama yule DC mstaafu Hai anayesafiri kwa karandingaMuseveni Hana mke wa pili Ila ana michepuko na amezaa nao. Nyege ziko pale pale hata Kama wewe Ni rais au waziri mkuu au mkuu wa mkoa au hausboi
Ngoja tumnyooshe kdg nyege zipungueKama yule DC mstaafu Hai anayesafiri kwa karandinga