Harusi ya Mtoto wa Kike wa Rais Museveni aliyeolewa Mtoto wa Jenerali Tumukunde

Muda si mrefu Uganda itakuwa inatawaliwa na familia ya mseveni na marafiki zake

1. Museveni raisi tangu 1986
2. Janeth museven waziri
3. Lt. Gen. Muhozi kainerugaba ni kamanda kamandi ya nchi kavu ( land force commander)

Una tegemea Nini?
3. Ameachia ngazi anaandaliwa kuwa rais kwasasa na hivi sasa anayajenga na Rwanda, ndani ya mwezi mmoja ametembelea Rwanda mara 2 kwani PK ndiye role model wake katika uongozi
 
Huyo ni mdogo wake na ndie Wakala wa uporaji na Msafirishaji mkuu wa mazao ya misitu ya Congo miaka na miaka

Hilo jina alilitumia kuficha identity yake na mahusiano yake na Yoweri wakati wa Mapambano
Nilikuwa natafuta hili.
 
Kuna mstari umesema "....and his second wife..."
Museveni Hana mke wa pili Ila ana michepuko na amezaa nao. Nyege ziko pale pale hata Kama wewe Ni rais au waziri mkuu au mkuu wa mkoa au hausboi
 
Museveni Hana mke wa pili Ila ana michepuko na amezaa nao. Nyege ziko pale pale hata Kama wewe Ni rais au waziri mkuu au mkuu wa mkoa au hausboi
Kama yule DC mstaafu Hai anayesafiri kwa karandinga
 
Back
Top Bottom