Harusi ni mipango yako binafsi, kwanini uninunie?

Harusi ni mipango yako binafsi, kwanini uninunie?

And u thot im scared of u ?? Basi Fanya tujibizane face to face ili tupate muafaka vizuri.....You cud prove whose the real bwabwa in here, if its me or you.

Alaf unaweza ukawa na mfano kwa wengine.

So you dont want to be called gay in public while you are.....The only way is to stop, but if you enjoy go on then and therefore dont punic......
 
Kule ambako unaiga na kuomba kila kitu isipokuwa huigi michango ya harushi, baadhi ya nchi ukiwa gay is just fulfilling the national identity. Nilidhani publicily ungefurahi kuwa hivyo pia........
 
Msicomplicate mambo hata mimi siyo kama nachanga zote naangalia uzito wako kwangu. Otherwise mtu utafute dunia ya kuishi peke yako ili ukae mbali na jamii.

You said it all chief. Ndivyo ilivyo.
 
Kwa nini tusi-adopt hii systema kila mtu anakuja na msosi wake? Hii itapunguza sana haya malalamiko, kila mtu anakuja na anakula
Alichopika kwake kwisha, hakuna mchango na harusi inafanyika
 
Kuchanga sio lazima, usilazimishe mtu akuchangie. Binafsi nachanga wale watu waliokuwa wananisaidia nikiwa na shida tu au ndugu zangu wa damu. Wale wengine nawapotezea.
 
Halafu misaada unaenda kuomba kwa wazungu, kila kitu unanunua cha wazungu alafu kwa umasikini wako unaona kuchangia harusi ndo kuwa UNIQUE compared to wazunguz????!!!....HIZI AKILI TULIZONAZO WAAFRIKA ZINAHITAJI OVERHAUL

Te te te teee aisee una mawazo
 
Halafu misaada unaenda kuomba kwa wazungu, kila kitu unanunua cha wazungu alafu kwa umasikini wako unaona kuchangia harusi ndo kuwa UNIQUE compared to wazunguz????!!!....HIZI AKILI TULIZONAZO WAAFRIKA ZINAHITAJI OVERHAUL

Waafrica tumeshindwa kujikubali hata viazi vinakaangwa dar ila vinaitwa french fry na sio Tanzania fry.
Raia wanazijua sana timu za nje kuliko za kwao za ndani
 
Kwa nini tusi-adopt hii systema kila mtu anakuja na msosi wake? Hii itapunguza sana haya malalamiko, kila mtu anakuja na anakula
Alichopika kwake kwisha, hakuna, mchango na harusi inafanyika

Ukimaliza ku-adopt system hiyo utakuja na system mpya kwa wageni wanaokutembelea nyumbani kwako waje na chakula chao na vinywaji vyao its better ukatafuta sayari yako ya kuishi na viumbe mnatakaofanana misimamo.
 
Kwa nini tusi-adopt hii systema kila mtu anakuja na msosi wake? Hii itapunguza sana haya malalamiko, kila mtu anakuja na anakula
Alichopika kwake kwisha, hakuna mchango na harusi inafanyika

Kuna dada wa rafiki yangu ana pesa za kutosha yeye kila ukitokea msiba kwenye ukoo ni wa kwanza kuulizia namba ya M-pesa na anachanga pesa nzuri tu ila misibani haonekani........

Ikaja akafiwa na mumewe akawa anatoa taarifa kwa ndugu na ndugu zake bila kinyongo nao wakawa wanaulizia namba ya M-pesa ili wamrushie rambirambi, baada ya kupata maumivu ya kukosa ndugu wa kumfariji sasa hivi ikitokea misiba anakwenda na analala msibani.
 
Ukimaliza ku-adopt system hiyo utakuja na system mpya kwa wageni wanaokutembelea nyumbani kwako waje na chakula chao na vinywaji vyao its better ukatafuta sayari yako ya kuishi na viumbe mnatakaofanana misimamo.

Are you dyslexic? Mbona it quite easy to do this no need to altercate mate! Siku njema
 
Kuna dada wa rafiki yangu ana pesa za kutosha yeye kila ukitokea msiba kwenye ukoo ni wa kwanza kuulizia namba ya M-pesa na anachanga pesa nzuri tu ila misibani haonekani........

Ikaja akafiwa na mumewe akawa anatoa taarifa kwa ndugu na ndugu zake bila kinyongo nao wakawa wanaulizia namba ya M-pesa ili wamrushie rambirambi, baada ya kupata maumivu ya kukosa ndugu wa kumfariji sasa hivi ikitokea misiba anakwenda na analala msibani.

Hahahahaha wabongo bwana, ngoja tu itafika time misiba mpk ualikwe! Sasa kuna shida gani?
 
Ndivyo ilivyo. Hujawahi ona watu wanakwenda msibani wanafanya shughuli zote ikija wakati wa kula.....kila mtu anasusa kula na msosi wamepika wao.

Mama mfiwa alipiga magoti akiomba asamehewe.....kibinadam watu wakasamehe. Ila alikoma siku hyo alikua ana nata sanaa. Kujishusha ni muhimu sanaaa kwenye jamii.
 
Hahahahaha wabongo bwana, ngoja tu itafika time misiba mpk ualikwe! Sasa kuna shida gani?

Siyo kualikwa tu mtawakodi hadi wale wakenya wa kulia misibani maana utajikuta msiba wako hakuna ndugu wala jirani unaomgusa watu wanaendelea na yao tu.

Si kila utamaduni wa wazungu ni wa kuiga mwishowe mtaiga kuolewa midume kwa midume na wazazi wenu wakizeeka mtaanza kuwaona ni mikosi na kuwapeleka kambi za wazee.
 
Michango ya kwenye hii Mada imenifurahisha sana. Anyway acha niendelee kuwa msomaji.
 
Kuna mama jirani aliniomba mchango sikuchanga siku hizi ameninunia utafikiri ananidai. Salam hata hajibu.
Kwa bajeti yangu siwezi kuchanga hela kwa ajili ya harusi full stop.
 
Nashangaa mtu anapanga kuoa, wakati huo hajui wewe umepanga nini? Sasa ukimwambia mimi sina hela kwa sasa kutokana na hali ilivyo, waswahili sisi tuna taabu.

Wanapokutana kwenye hivyo vikao vya harusi agenda ni mimi.
Jamani kila mtu ana majaaliwa yake katika kuzipata fedha, sasa mfuko wangu usiupangie matumizi.
Harusi ni starehe mtu asikusumbue. Wametongozana huko wakapatana kufunga ndoa wao ndio waandae sherehe na kukaribisha watu sio kukusanya pesa kutoka kwa watu ili wao washerehekee mapenzi yao. Cha msingi ni ndoa, harusi ni sherehe sio lazima iwepo. Watu wengine utaona hali yao ni maisha ni duni lakini kutwa wanazunguka na kadi za kuchangisha ili wafanye harusi. Hata mimi huwa inanikera sana mkuu. Tena wengine wajanja sana siku hizi. Anakuchangisha kitchen party baadaye tena anataka uchangie na send off halafu atataka pia uchangie na harusi. Ujinga kabisa. Wao wamependana waende wakafunge ndoa waende nyumbani kama wanataka sherehe waandae wao na familia yao.

Halafu wengine wasumbufu wakisha gawa vikadi vyao wanafuatilia utafikiri unadaiwa mkopo hivyo wanataka marejesho. Mara simu kila siku, sms wengine kila siku kiguu na njia kwenye majumba ya watu wanakusanya michango. Wengine wanafuata mpaka makazini. Wakikukosa wanafuata hadi kanisani au msikitini. Yaani waoanaji wengine ni sheda!
 
Labda kama utaoa sanamu, mdoli, ulijizaa ama utajioa mwenyewe ... vinginevyo mawazo uliyonayo jumlisha na ya utakaye oana naye ndiyo yatakayoleta harusi na si vinginevyo. Grows up, wakati wewe unapanga mipango ya kuoa usisahau naye anapanga mipango ya kuolewa; wazazi nao wanapanga kuoza ... kazi kwako ...

Aisee umerenga vile majibu yangu kichwani yalivyotaka kumjibu huyo jamaa
 
Aisee umerenga vile majibu yangu kichwani yalivyotaka kumjibu huyo jamaa

Harusi inategemea sana na msimamo wa bwana harusi kwa kukubaliana na bibi harusi. Watu wengine wanafuata namna ambayo nyie mtafurahi zaidi.
Binafsi ndugu wa pande zote mbili walitaka sherehe kuubwa mimi nilikataa na baadae walikuja kunielewa na imekuwa precedent ya harusi simple ninayoimudu mimi na ndoa imedumu. Inahitaji independent mind na msimamo thabiti.
 
Back
Top Bottom