Mi kuna watu ninaofanya nao kazi ofisi moja ambao walinichunia makusudi kwenye harusi yangu, hawakutoa mchango wala hata kusema neno lolote lile lakini leo miaka 4 sasa wanashindwa kunipa hata taarifa za mambo yao mbalimbali ya kijamii ikiwemo harusi.
Chamsingi kama huna mueleze ukweli mtu kama mstarabu atakuelewa kwani yeye ndiye aliyepanga siku ya harusi, sio unakaa kimya had shughuri yake inapita hiyo huwa inakera labda kama unauhakika kwamba hautahitaji msaada wa kibinadamu kutoka kwake!