Harusi ni mipango yako binafsi, kwanini uninunie?

Harusi ni mipango yako binafsi, kwanini uninunie?

Nashangaa mtu anapanga kuoa, wakati huo hajui wewe umepanga nini......? Sasa ukimwambia mimi sina hela kwa sasa kutokana na hali ilivyo , waswahili sisi tuna taabu, wanapokutana kwenye hivyo vikao vya harusi agenda ni mimi .
JAMANI KILA MTU ANAMAJAALIWA YAKE KTK KUZIPATA FEDHA SASA MFUKO WANGU USIUPANGIE MATUMIZI...............!!!

Ukitaka kuoa na ww usituletee card ya mchango. Ile ni kama soft loan flan hvi. Ukitolewa na we uje utoe plus u get to know the people who value ur stuff.

Issue is ni jambo la starehe i kno but u also get to invest in people. Mtu ninae mfaham au kum value akiniomba mchango siwez acha kumpa. Kuna faida zake flan huwez ziona leo au kesho. Watu sio wajinga ujue. #MtazamoTu .
 
Sio lazima uchangie kiasi kikubwa changia kwa uwezo wako, kama ni single hata 30,000 au 25,000 elfu inatosha, pia hakuna mtu anayekupa kadi ya mchango na kukutaka utoe hela siku hiyohiyo au baada ya siku ya 3.

Harusi ni maandalizi ya muda mrefu kuanzia miezi 4 au hadi 6, mtu anaweza anza vikao june na kuoa December so y? elfu sh 25 ndani ya miezi 6, sio vizuri wachangieni wenzenu.Na kama wewe hupendi mambo ya harusi basi ni wewe ikifika zamu yako usifanye, acha wengine tufanye na kufurahia kwa raha zetu.
 
Utoto unawasumbuwa mkikuwa mtajitambuwa tu, mmeshavimbiwa makande mnaanza kubwabwaja tu.

Kuchangia ni jambo la hiyari kama wewe linakukera usichange haujavunja katiba ila kwa kifupi tu inaonesha bado hamjaijuwa vizuri dunia.

Kuchanga ni hiari sasa kwanini kila wakikaa vikao wamjadili yeye badala ya kujadili mambo ya harusi? Dunia sio michango ya harusi tu kuna mengi ya kuchangia,harusi ni ziada tu.
 
Sio lazima uchangie kiasi kikubwa changia kwa uwezo wako, kama ni single hata 30,000 au 25,000 elfu inatosha, pia hakuna mtu anayekupa kadi ya mchango na kukutaka utoe hela siku hiyohiyo au baada ya siku ya 3. Harusi ni maandalizi ya muda mrefu kuanzia miezi 4 au hadi 6, mtu anaweza anza vikao june na kuoa December so y? elfu sh 25 ndani ya miezi 6, sio vizuri wachangieni wenzenu.

Na kama wewe hupendi mambo ya harusi basi ni wewe ikifika zamu yako usifanye, acha wengine tufanye na kufurahia kwa raha zetu.

Kwa hesabu yako unafikiri kwa mwaka harusi ipo moja? Mwezi mmoja tu zinagonga harusi tatu.Hapo ndo michango ya harusi inapoboa
 
Ukiona sio lazima usitoe hata wakikujadiri tia masikio pamba ,ila keep in mind that malipo hapa duniani.
 
Kwa hesabu yako unafikiri kwa mwaka harusi ipo moja? Mwezi mmoja tu zinagonga harusi tatu.Hapo ndo michango ya harusi inapoboa

Pamoja na hilo haiwezi kuwa sababu ya kuacha kuchangia, nina kadi 5 hadi sasa, na zote sherehe zinakaribiana, na kila mtu nampa kidogo na kumwambia ukweli tu,

nina ahadi nyingi za kuchangia hivyo chukua hiki kidogo, huyo akinuna hatakuwa na yake, pia sio lazima kama harusi zipo 3 ndani mya mwezi uchangie zote, kama huna uwezo changia 1 nyingine acha. Kutoa ni moyo hulazimishwi.
 
Hiyo ni 'social capital' na ni sehemu ya utamaduni wetu hivyo kuchangia ni muhimu hata kama sio fedha basi kwa hali ikiwemo mchango wa mawazo. Kama vipi kakope ili uchangia hata ile minimum iliyopangwa au peleka chochote ili kuonesha kweli nia unayo ila mfuko wako wa fedha ni dhaifu.
 
Nashangaa mtu anapanga kuoa, wakati huo hajui wewe umepanga nini......? Sasa ukimwambia mimi sina hela kwa sasa kutokana na hali ilivyo , waswahili sisi tuna taabu, wanapokutana kwenye hivyo vikao vya harusi agenda ni mimi .
JAMANI KILA MTU ANAMAJAALIWA YAKE KTK KUZIPATA FEDHA SASA MFUKO WANGU USIUPANGIE MATUMIZI...............!!!

niumasikini wa fikra, huwezi nuniana na watu kisa hawajakuchangia ama kukupa kadi ama hukupata mwaliko. Huu ni unafiki na ujinga wakufikiri. Mitanzania tupo kama waganga wakienyeji kununiana nuniana tu kama tumelogwa.
 
sichangii harusi ya mtu na ya kwangu ctaki mchango wa mtu. nitafunga ndoa siku ya kazi tukitoka kanisan ni kazini kama kawaida....

nasema hivii sichangii mchango wa harusi. full stop.

Labda kama utaoa sanamu, mdoli, ulijizaa ama utajioa mwenyewe ... vinginevyo mawazo uliyonayo jumlisha na ya utakaye oana naye ndiyo yatakayoleta harusi na si vinginevyo. Grows up, wakati wewe unapanga mipango ya kuoa usisahau naye anapanga mipango ya kuolewa; wazazi nao wanapanga kuoza ... kazi kwako ...
 
Hiyo ni 'social capital' na ni sehemu ya utamaduni wetu hivyo kuchangia ni muhimu hata kama sio fedha basi kwa hali ikiwemo mchango wa mawazo. Kama vipi kakope ili uchangia hata ile minimum iliyopangwa au peleka chochote ili kuonesha kweli nia unayo ila mfuko wako wa fedha ni dhaifu.

kama mtu hana? Acha uibilis, ndio maana watu wanagawa kadi nakudai kama wamekopesha watu. Mim natoa nasidai mtu wala sina uo mpango and i'm happy.
 
Kiukweli nimevumilia nimechoka, michango ya harusi imekuwa KERO SANA. Mtu anafuatilia mchango utadhani ulikopa!!!!!
WAKATI MWINGINE NIKAFIKIA MAHALI NIKAWA NAJIULIZA KM KUNA UMRI WA KUSTAAFU KULIPA MICHANGO YA HARUSI

Wazazi wangu wamekua wakitoa michango ya harusi kwa watu mbali mbali tokea tukiwa watoto na kushiriki kwa roho moja kwenye shughuli i.e. harusi, misiba na mambo mengine mbalimbali za ndugu jamaa na marafiki...

Ilipotokea mmoja wetu yan sisi watoto alipotaka kuoa kikao cha kwanza tu cha harusi wali raise hela kibao na hakuna mtu aliacha kutoa. Note: Kwa thamani ya hela ya sasa hvi.

Bado zawadi nyingine kibao kwenye event yenyewe na nyingine za kuanzia maisha kwa maharusi. Ilipofika wakati wazee wangu wanatoa neno la shukrani. Walifurahi sanaa kiasi wakamwaga machozi kama watoto pale mbele. Nlijifunza kitu kikubwa sanaa ile siku. It was my bro's wedding.

Huwez vuta hewa safi ndani yako bila kutoa hewa nnje. Its Nature.
 
Wazazi wangu wamekua wakitoa michango ya harusi kwa watu mbali mbali tokea tukiwa watoto na kushiriki kwa roho moja kwenye shughuli i.e. harusi, misiba na mambo mengine mbalimbali za ndugu jamaa na marafiki...

Ilipotokea mmoja wetu yan sisi watoto alipotaka kuoa kikao cha kwanza tu cha harusi wali raise hela kibao na hakuna mtu aliacha kutoa. Note: Kwa thamani ya hela ya sasa hvi.

Bado zawadi kibao kwenye event yenyewe na nyingine za kuanzia maisha kwa maharusi. Ilipofika wakati wazee wangu kutoa neno la shukrani. Wazee wangu ( wazazi ) walifurahi sanaa kiasi wakamwaga machozi kama watoto. Nlijifunza kitu kikubwa sanaa ile siku. It was my bro's wedding.

Hivyo vyote vya nn?....Watu wanachanga huku wananung'unika kutakuwa na heri kwenye ndoa kweli?...Siku hizi ndoa nyingi zinafungwa mwanamke akiwa tayari anamimba. Vijana wa kileo wanasema hawawezi "KUUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA"....NDO MAANA NDOA NYINGI ZA VIJANA WA DOTCOM ZINAVUNJIKA BAADA YA HARUSI.
 
Hujalazimishwa kutoa. Im just letting u kno the significance of doing such things. Wazungu waachie yao wewe fanya yako ya ki Africa i.e. Ki asili unayoona ni sawa.
Kiangazi na masika zote ni hali ya hewa.
 
Back
Top Bottom