Ask me
Member
- Apr 28, 2015
- 27
- 14
Mimi nachanga tena kwa ka furaha ila nachanga kwa mtu mwenye impact kwangu namaanisha uzito wa huyo mtu kwangu...mfano nyie mnaobisha hamchangi je kama ni harusi let say ya mtoto wa mama yako mdogo ambae mmecheza na kukua pamoja kama na ndugu na kama marafiki hutochanga???Au mi mwenzenu sijui maana ya mchango??Coz mimi hata kama sina hela naudhuria kwenye maandalizi,namsaidia kazi za mikono inapobidi uo pia ni mchango..
Marafiki wa karibu mi nawachangia kabisa tena bila kuwa na huzuni......
To me kuchanga ni just kuboresha mahusiano na pia kuonyesha ushirikiano kwa mwenzangu anaepata mke/mume
Vitu ambavyo sichangii ni birthday na graduation