Tatizo kwenye kamati wanalaz8misha single iwe 50. Ukitoa 25-30 watakujadili kabisa kama vile umefanya kosa kubwa. Wakikustahi watakupigia uongeze.
Tena wengine watakuhesabia gharama kuwa 30 haitoshi hata mapambo.
Kumbuka usipotoa hawakuelewi......na ukiwaambia hiyo ya kujazia jazia sina kitu siwezi kuja wataona unawadharau
Nashangaa mtu anapanga kuoa, wakati huo hajui wewe umepanga nini? Sasa ukimwambia mimi sina hela kwa sasa kutokana na hali ilivyo, ananuna! Waswahili sisi tuna taabu.
Wanapokutana kwenye hivyo vikao vya harusi agenda ni mimi.
Jamani kila mtu ana majaaliwa yake katika kuzipata fedha, sasa mfuko wangu usiupangie matumizi.

Mtu anayenihusu ni lazima nimchangie wala sina mjadala, nina umri wa kutosha kugombea urais nimeona mengi na nimejifunza vingi.
Hii ni culture ambayo inatutesa sana wabongo na hatuwezi imaliza mana imekua ni kama part ya maisha yetu"
Usipochangia harusi,wabongo hawachangii msiba wako.
Mtaenda sawa tu,nae atakwambia ana mipango binafsi.
Kuna jamaa yangu ni noma ye alivyomaliza harusi yake akatunza daftali lenye orodha ya wote waliomchangia sasa ukienda kuomba mchango anafungua daftari kama haumo imekula kwako
Nashangaa mtu anapanga kuoa, wakati huo hajui wewe umepanga nini? Sasa ukimwambia mimi sina hela kwa sasa kutokana na hali ilivyo, ananuna! Waswahili sisi tuna taabu.
Wanapokutana kwenye hivyo vikao vya harusi agenda ni mimi.
Jamani kila mtu ana majaaliwa yake katika kuzipata fedha, sasa mfuko wangu usiupangie matumizi.
Ni kweli kabisa alafu unakuta jitu zima linataka kuoa linatembeza bakuli sasa ulilazimishwa kuoa mimi mtu akinisumbua na michango ya harusi kama ni mwanaume namwambia nikikuchangia na mimi siku nikiwa na kiu nakuja kwa shemeji kukata kiu ndiyoo kwa sababu si nimemchangia na mimi na haki naye.Badala ya kuhangaika na harambee za maendeleo kama vile elimu na afya sisi wa tz wa leo tunahangaika na masherehe ya siyokuwa na tija.
Kukiwa na hiki kitu mbona Watanzania tutasonga! Fikiria ile nyomi ya kwenye vikao wangekuwa wanajadili kukomboana kimaisha.Hii haina tofauti na mkulima aliyevuna mazao yake vizuri halafu anaandaa sherehe ngoma chakula chote kinatumika halafu anabaki kutumbua macho!!!Kwa nini kusiwe na michango ya kujengeana nyumba?
Kukiwa na hiki kitu mbona Watanzania tutasonga! Fikiria ile nyomi ya kwenye vikao wangekuwa wanajadili kukomboana kimaisha.Hii haina tofauti na mkulima aliyevuna mazao yake vizuri halafu anaandaa sherehe ngoma chakula chote kinatumika halafu anabaki kutumbua macho!!!