BRO LEE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2011
- 837
- 628
Hafai mbinafsi mkubwa, kununua gari?!!! Yaani gari ni kipaumbele kuzidi uhai wa mtu?!!
Ila na wewe hukumwandaa katika hali ya kusaidiana ndo mana anaona hela yake haikuhusu wala familia yako, jambo ambalo ni tatizo kubwa mana kuna leo na kesho je ukiwa huna kipato kwa muda itakuwaje?