Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

kakaaa maamuzi ya busara mno halafu ni ngumu kusikiliza maamuzi ya upande mmoja asee story ingebalance ingekua poa sana tungejua wapi tuanzie yawezekana yapo mengi behind hatuyajui na moyo wa mtu kichakaa big up kwa huu ushaur mkuu nimekupenda bure

To be sincere, unapoanza maisha ya ndoa ni up to eternity, ndio maisha utayoishi hadi kifo. sasa kwa sisi waafrika tunaishi katika extended families, inatarajiwa huyo mkeo aje awe sehemu ya familia. Na kama mama alivyokuwa amekuja DSM kwa matibabu anakutegemea wewe huyo mwenzio alipaswa ndo awe msaada mkubwa.
Nakumbuka my brother had a fiancee na wakat huo alikuwa mwanafunzi mlimani hakuwa hata ametoa mahari lkn baba yetu aliugua akalazwa hospitality mji alikokuwa anaishi huyo binti baba alihudumiwa vizuri hadi leo hasahau ni miaka minne sasa baada ya ndoa yao lakini huyu wifi tunamchukulia kama Dada utadhan kazaliwa na sisi sio muolewa.
ukweli uko wazi huyo Dada kakosea hapo inabaki kwenye mchumba kuamua mwenyewe.
 
yes sweetheart nakiri hivo kwa huyu dada kukoseaa na hua vitu vidogo ndo hunogesha penzi isitoshe mama mzazi ambae ni mkwe mh hii ya huyu ngumu jamani hata kama uzungu huu wake umepitiliza

Mungu alikuletea huo mtihan kusudi, ili uone mtu aliekuchagulia..
 
nakuambia uko sawa kabisa tena huyo muache kama vile ujawahi muona mjinga sana huyo na usikubali ushauri wa kumrudia huyo ukimuoa atakua kama uf .
..aro shauri yako.
 
Kama usemavyo ni kweli na kweli tupu achana nae huyo,na I can bet She's a chagga or Pale,( Miserere Mei Deus), Am a casualty of akin incident....
 
Cha msingi ni kuaihirisha suala kabisa kwa muda, utafakari kuhusu huyo unayemuacha na unayemuendea. Yawezekana huyo mpya ame take advantage of the situatuion kufanikisha malengo yake. Moyo ni kichaka huwezi kuupambanua. Kazi kwako
 
Mdogo wangu boby- bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa kwa kuwa nyumba unaweza kuibomoa na kuijenga upya.

Huyo mchumba wako ni mtakavitu wala siyo mtakautu kamwe.

Hujachelewa mpige chini before is too late.

Mama hana mfanowe.
 
Last edited by a moderator:
yani Huyo hata angekuwa rafiki yangu wa kawaida ningempotezea haraka sana achia mbali uchumba. Huezi mnyima mchumba hela mwenye uwezo wa kukusaidia kufikia malengo ya kununua hilo gari😳
Mwambie nimekusamehe kiroho safi ila kila mtu aendelee na shughuli zake!
Wanaume lkn mmezidi, mngekuwa mnaangalia tabia ndo muoe asilimia kubwa msingekuwa. kwenye ndoa mlizonazo, mnadanganyika na vivazi na make up na ufeki wa watu, mnaacha real womens mitaani kisa hawana mawigi vichwani. Wanawake wazuri kitabia wapo jamani ila hamuwaangalii mara mbili😰
 
staki kukwambia umuache mwanamke mchoyo sio afadhar mchafu utamuogesha ila mchoyo ni shida.au unataka Mungu akuoneshe nini uelewe?Mungu amekunusuru
 
Ukioa huyo dada kimeo utajuta maisha yako yote! Shukuru Mungu umeonyeshwa mapema! Harusi sogeza hata Sept Dec Ila sio huyo!! Kosea yote sio mke!!
 
yes sweetheart nakiri hivo kwa huyu dada kukoseaa na hua vitu vidogo ndo hunogesha penzi isitoshe mama mzazi ambae ni mkwe mh hii ya huyu ngumu jamani hata kama uzungu huu wake umepitiliza

Just imagine, mama mkwe akijua hilo atajisikiaje, Huyo Dada anategemea apokelewe vipi kwenye hiyo familia kama kweli ana mshipa wa soni japo kidogo..... mmmm!

Hao ni wadada wanaochukulia ndoa kwa upande wa kitandani tu na starehe wanasahau upande wa jamii inayowazunguka. I call them short sighted.
 
It's easier to forgive an enemy than to forgive a friend.
Just give her another chance people learn through mistakes BTW she's flesh and blood.
 
Wakuu nawashukuru wote kwa mawazo yenu mazuri
Ingawa nipo chini ya shinikizo kutoka kwake na ndugu zake kuwa wameshafika mbali kwenye maandalizi ya send off na kwamba wanadai tuzungumze tuyamalize ila kwa kweli moyo wangu umegoma kabisa
Nawashukuru sana

helloooo watu wanaachana siku ya harusi sembuse send off. waambie wamfanyie tu hiyo send off ili siku akipata wakumuoa isiwasumbue make wasipofanya wachangaji wanaweza kulalamikia michango yao.
 
Huo uhusiano wa zaidi ya mwaka na unayemwita bibi harusi mpya umeuanzaje wakati tayari ulikuwa kwenye mahusiano na huyu wa unayetaka kumwacha?
 
Back
Top Bottom