Huyo sio mke! Hana utu kabisa, kama kakutelekeza wewe na mama yako ni dhahiri hakufai, kuna siku na wewe utaugua akutelekeze hosipitalini, hiyo ndo roho za dada zetu wengine, wana roho ngumu kupita maelezo, huyo badae mkiwa na mali anaweza akuwekee sumu ufe abaki na pesa, pia kumbuka maisha ni mapito hebu fikiria mbele, mfano mmeoana na bahati mbaya umetangulia mama akabaki atamjali huyo mama yako?