Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

1. alikosa utu, heshima, adabu, utii, hekima kwa mama yako..hakujali afya yake...na akaona hilo gari ni bora sana kuliko afya...

2. uchumba wenu umekuwa na mashaka mengi na wewe kwa mda mrefu hukuviona viashiria hivyo...hamkuwa na ushirikiananji katika maamuzi yenu ( sidhan kama alikuw amekwambia anataka kununua gari, )....penzi lako kwake lilikuwa la kimuonekano wa nje zaidi na sio wa ndani(tabia)....na sidhani kama na wewe ulimwambia juu ya kiwanja ulichonunua....

3...uamzi uliochukua kwa upande mmoja ni mzuri kwa sababu mchumba hajajitolea kusaidia ili mama apate tiba...lakini huyu mwingine amelipokeaje baada ya kumwambia nakuoa wewe na sio huyu?.....naamin ukifunga na huyo mpya huyu wa zamani ataacha kazi hapo....

endelea na mipango ya harus....Mungu kakuepusha mapema na kifungo kilichokuwa kinataka kukukabili huko mbele....
 
Wakuu nawashukuru wote kwa mawazo yenu mazuri
Ingawa nipo chini ya shinikizo kutoka kwake na ndugu zake kuwa wameshafika mbali kwenye maandalizi ya send off na kwamba wanadai tuzungumze tuyamalize ila kwa kweli moyo wangu umegoma kabisa
Nawashukuru sana

Unaona sasa!

wanafikiria harus sio alichokifanya ndugu yao!
nilifikir watasema airishen kwanza had mambo yakae sawa? wanasema wafika mbali what a nonsense?
kiongozi ndoa nizaidi ya uijuavyo!

sisemi ili kukuforce umuoe mpya ila naanza kukuonea huruma ghafla kabla hata hujaanza kurud hapa na kuanzisha uzi baadae!
kwa binti hakuna raha kama kujipendekeza kwa wakwe!!
ukutane na mama asiye na makuu, mbona utasema ulikuwa wapi hapo mtu hata vikao havijaanza (huna uhakika kama atakuoa au laaah) sembuse vikao tayar, jaman si mahala pake pa kumuonesha mama kuwa mwanao hajakosea!!!!!!!!
duuuuuuuuuuh!
 
Sitaki kuwa mtetezi wa kitu nisichokijua na kuhukumu upande mmoja, lakini wakati unakwenda kununua Plot ulimweleza? Na yeye ana access na account yako? Je mliwahi kukaa na kumweleza kuhusu situation ya kwenu kwamba wewe unategemewa kwenu? au ulitangaza utajiri? Huwa mnaznungmzia wapi mambo yenu? Bar? Au huwa baada ya kazi mnakwenda wapi? Unaaminije kuwa huyu alietoa Milioni mbili ni ili tu akupate na sio kwamba na yeye ni tofauti na huyo?

Mpwa tuliza kichwa, hizo ni ishu minor sana sana sana, kwenye ndoa hakutaki hasira kiasi hicho na maamuzi ya kitoto hivyo! Kaeni, zungumzini, nipo kwenye ndoa kwa muda mrefu sasa na nimeona mengi.

Kwa mfano, mke wangu huwa mgumu sana kumjulia Mama yangu hali ambaye ni mgonjwa, na huwa napiga simu kila jioni nikifika home tena mbele yake, lakini anaweza, nasema anaweza asikuulize anaendleaje, lakini nilikuja ku-study hio tabia nikajua ndio alivyo yaani yeye ni easy taker, watu wa namna hio wapo wengi sana. Kuna mtu hata ukimwambia kuwa sogea hapo utaungua moto, yeye atasema ngoja tu niungue si kuna dawa!!!!!

Kwahio, ushauri wangu kama Kaka yako wa JF endelea na mipango yako na jua kuwa pengine hio ndio tabia ya mkeo na pengine na wewe una tabia zako mbaya zaidi. Zungmzeni sometimes, mimi huwa namwambia mke wangu na hua sitaki tubishane, kwahio huwa namwambia tu na kupotezea.

Mpwa wangu, dont take life too serious Iasee utakufa uyaache hapa hapa maisha haya na bank kazi iishe.

Aaagghh niruhusu niishie hapa kama nimekukera, NISAMEHE
mwanaume ameubwa na siri lkn mwisho wa siku atasema hapa nampongeza kama alificha baadhi ya mambo usimdanganye mwenzio hapa,huyo dada hata kama mwanaume nae ana madhaifu yake lkn kwa hili alilolionesha mwanamke ni dhahiri hafai,hivi jaribu kuvaa viatu, kwanza anabahati mm sina undugu na huyu kaka ,nikuulize swalimfano mwanamke wa pili asingempatia pesa mama angekufa ndo angefurahi na wakati unajua hela yule mwanamke anazo,ushauri wako una busara sana ila kwa hapa umeprove wrong.yaan sisi wanawake tuna roho mbaya lkn ya huyu imezidi
 
I beg to differ with you, usimpotoshe mwenzio. Endapo weweunamvumilia easy-taker wako ni vile tu
Hukupata bahati aliyoipata Bobby- kuona rangi mapemaaaa.Hivyo wote wana kazi? Kesho mume kalost…si atakula jeuri yake mpakaashangaeeee..

Ushauri wangu kwamhusika bora ukosee kujenga nyumba utabomoa kuliko kuoa….speaking fromexperience mambo ya kuja kuachana kwenye ndoa yana athari nyingi mno kulikomaelezo!

Last edited by a moderator:
Kuoaaaaaa.... i believe sina credibility!

Usioe sasa hivi.....chill tena mpaka mwisho wa mwaka hivi.
Cc: Asprin
Sometimes Mpwa natamani nikuchape viboko, hahahahahahaaa wewe mwanafunzi huheshimu Mwalimu wako anachokufundihsa. Muache aoe bhana ila asikubali kufundishwa na watu, ajue kuwa relation hazina formula!!! Mpwa upo? Mie ndoa ndio imeota kutu sasa kama ni vyuma vikisha ota kutu ndio vinanasana vizuri hahhaaahhahaaaaaa
 
Mpwa huyu sasa hivi ana emotional imbalance..atafanya maamuzi kihisia tu.

Aache kwanza atulie.

Kumbuka: kuoa au kutokuoa...yote utajuta baadaye. Hakuna chema. Ila bora kutokuoa nahisi.
 
tayari ameonyesha ubinafsi,alikuwa tayari mamako afe, muoe aliekusaidia wakati wa shida,huyo mwengine ni pepo
 
Sitaki kuwa mtetezi wa kitu nisichokijua na kuhukumu upande mmoja, lakini wakati unakwenda kununua Plot ulimweleza? Na yeye ana access na account yako? Je mliwahi kukaa na kumweleza kuhusu situation ya kwenu kwamba wewe unategemewa kwenu? au ulitangaza utajiri? Huwa mnaznungmzia wapi mambo yenu? Bar? Au huwa baada ya kazi mnakwenda wapi? Unaaminije kuwa huyu alietoa Milioni mbili ni ili tu akupate na sio kwamba na yeye ni tofauti na huyo

Mpwa tuliza kichwa, hizo ni ishu minor sana sana sana, kwenye ndoa hakutaki hasira kiasi hicho na maamuzi ya kitoto hivyo! Kaeni, zungumzini, nipo kwenye ndoa kwa muda mrefu sasa na nimeona mengi.

Kwa mfano, mke wangu huwa mgumu sana kumjulia Mama yangu hali ambaye ni mgonjwa, na huwa napiga simu kila jioni nikifika home tena mbele yake, lakini anaweza, nasema anaweza asikuulize anaendleaje, lakini nilikuja ku-study hio tabia nikajua ndio alivyo yaani yeye ni easy taker, watu wa namna hio wapo wengi sana. Kuna mtu hata ukimwambia kuwa sogea hapo utaungua moto, yeye atasema ngoja tu niungue si kuna dawa!!!!!

Kwahio, ushauri wangu kama Kaka yako wa JF endelea na mipango yako na jua kuwa pengine hio ndio tabia ya mkeo na pengine na wewe una tabia zako mbaya zaidi. Zungmzeni sometimes, mimi huwa namwambia mke wangu na hua sitaki tubishane, kwahio huwa namwambia tu na kupotezea.

Mpwa wangu, dont take life too serious Iasee utakufa uyaache hapa hapa maisha haya na bank kazi iishe.

Aaagghh niruhusu niishie hapa kama nimekukera, NISAMEHE
ushauri mzuri sana huuu..
 
Mpwa nimtoa mawazo yangu na mtazamo wangu pamoja na uzoefu wangu u, wala sikumshurutisha. Angetafuta namna nyingine ya kupata pesa na amepata! Huwa sipendi stress kwahio kama kitu hakiwezekani huwa simlazimishi mtu wala kupoteza nae muda. Relation haina formula lakini pia je unamhukumu huyo Binti mwenzio kwani umesikia story ya upande wa pili???
mwanaume ameubwa na siri lkn mwisho wa siku atasema hapa nampongeza kama alificha baadhi ya mambo usimdanganye mwenzio hapa,huyo dada hata kama mwanaume nae ana madhaifu yake lkn kwa hili alilolionesha mwanamke ni dhahiri hafai,hivi jaribu kuvaa viatu, kwanza anabahati mm sina undugu na huyu kaka ,nikuulize swalimfano mwanamke wa pili asingempatia pesa mama angekufa ndo angefurahi na wakati unajua hela yule mwanamke anazo,ushauri wako una busara sana ila kwa hapa umeprove wrong.yaan sisi wanawake tuna roho mbaya lkn ya huyu imezidi
 
Sitaki kuwa mtetezi wa kitu nisichokijua na kuhukumu upande mmoja, lakini wakati unakwenda kununua Plot ulimweleza? Na yeye ana access na account yako? Je mliwahi kukaa na kumweleza kuhusu situation ya kwenu kwamba wewe unategemewa kwenu? au ulitangaza utajiri? Huwa mnaznungmzia wapi mambo yenu? Bar? Au huwa baada ya kazi mnakwenda wapi? Unaaminije kuwa huyu alietoa Milioni mbili ni ili tu akupate na sio kwamba na yeye ni tofauti na huyo?

Mpwa tuliza kichwa, hizo ni ishu minor sana sana sana, kwenye ndoa hakutaki hasira kiasi hicho na maamuzi ya kitoto hivyo! Kaeni, zungumzini, nipo kwenye ndoa kwa muda mrefu sasa na nimeona mengi.

Kwa mfano, mke wangu huwa mgumu sana kumjulia Mama yangu hali ambaye ni mgonjwa, na huwa napiga simu kila jioni nikifika home tena mbele yake, lakini anaweza, nasema anaweza asikuulize anaendleaje, lakini nilikuja ku-study hio tabia nikajua ndio alivyo yaani yeye ni easy taker, watu wa namna hio wapo wengi sana. Kuna mtu hata ukimwambia kuwa sogea hapo utaungua moto, yeye atasema ngoja tu niungue si kuna dawa!!!!!

Kwahio, ushauri wangu kama Kaka yako wa JF endelea na mipango yako na jua kuwa pengine hio ndio tabia ya mkeo na pengine na wewe una tabia zako mbaya zaidi. Zungmzeni sometimes, mimi huwa namwambia mke wangu na hua sitaki tubishane, kwahio huwa namwambia tu na kupotezea.

Mpwa wangu, dont take life too serious Iasee utakufa uyaache hapa hapa maisha haya na bank kazi iishe.

Aaagghh niruhusu niishie hapa kama nimekukera, NISAMEHE

Elli nakuheshimu na umeongea kwa busara sana... Mimi sitakuwa na mengi lakini naomba kutofautiana na wewe kitu kimoja hasa kulinganisha mgogoro wa maamuzi ya ununuzi wa Plot, Gari na ugonjwa wa mzazi?? Kwa hapo Ndugu yangu Robby sijui Bobby angalia .......Kilichobaki ni wewe wengi wameongea na wameleweka.
Hakika Ugonjwa ni Ugonjwa Mzazi ni Mzazi hapatikani mara mbili, wewe usiye nifaa muda mbele ya wazazi wangu hutanifaa nikiwa sina pa kuegemea.

MWISHO WANAWAKE WENGI WANA TABIA HIYO KIKUBWA JAPO WANALILIA KUOLEWA LAKINI ROHO YA UBINAFSI WANAZO SANA NDICHO CHANZO CHA MIGOGORO MINGI KWENYE MAHUSIANO. TUMEAMBIA NI SEHEMU YA MBAVU ZETU LAKINI BIBLIA ITAKUWA ILIKOSEA.
 
bado nawaza ushauri wa kukupa

goti la mwenye haki limesikilizwa...alivyojimimina mbele za Mungu..Mungu kasikia kilio chake....huyu dada mpya alimpenda ila basi tu sie vijana....ameletewa kidada kimetoka chuo akipe training basi jama akatoa training kweli....hawa wadada walioko chuo wanapokuwa kwenye madeka vitanda vyumbani vyao huwa wanawaza magari na maisha mazuri siku zote...huwa wnaapeana matango pori sana.sasa anapotoka chuo na kupata kazi cha kwanza kufanya ni kupata gari (wengi wao si wote).. na ndio maana alithamini sana gari kuliko mama mkwe...
huyu dada (mchumba mpya) kwa ndani kabisa akiwa amejaa na utukufu wa Mungu akafunuliwa kuwa yeye ndio nafaa kuwa mke mwema na mama mweye hekima....kwa kutumia njia zake Mungu akabilisha maamuzi ya kijana kwa njia hiyo (ugonjwa wa mama) ili badae wote mama mkwe, kijana (mleta mada) na huyu mchumba mpya waishi pamoja kwa furaha.....

hapa hakuna kujishauri mara mbili...hata alie vipi ..hata kama kwao wameshafanya maandalizi huyu jamaa apige chini ...huyo demu hafai hata kwa dawa....anathamini gari kuliko afya ya mtu!!!

yaan jamaa kaokolewa mapemaaaaa toka katika kifungo....
 
Mpwa naomba nirudie tena kuwa huu ni ushauri tu sina lengo la kumpotosha! Huwezi kuhukumu upande mmoja wa story na pia huwezi kuhukumu kwa event moja tena ya namna hio, kwa mfano mleta mada anaifahamu Account ya Mpenzi wake huyo, well and good,

lakini wakati huo huo mpenzi wake huyo alimwambia kuwa kama haamini waende wote wakaangalie kwenye Account yake! Kwanini hakwenda? Kwanini hakuweza ku-print salio na kumuonyesha in a friendly way ili ku-resolve na kuja kutosa judgement ambayo sio emotional driven?

Narudia silengi kumpotosha mtu ila ni ushauri na mtazamo wangu!
Tukubali kuwa kila mtu ana namna ya ku-handle issues zake hasa ambazo ziko kwenye hii field kwahio ni lazima kwa nyakati fulani tuwe different. Nakubali
I beg to differ with you, usimpotoshe mwenzio. Endapo weweunamvumilia easy-taker wako ni vile tu
Hukupata bahati aliyoipata Bobby- kuona rangi mapemaaaa.Hivyo wote wana kazi? Kesho mume kalost…si atakula jeuri yake mpakaashangaeeee..

Ushauri wangu kwamhusika bora ukosee kujenga nyumba utabomoa kuliko kuoa….speaking fromexperience mambo ya kuja kuachana kwenye ndoa yana athari nyingi mno kulikomaelezo!
 
Mpwa wangu asante sana ila hebu some hii signature yako mwenyewe, nadhani inabeba ujumbe tosha wa ku-support nilichokiongea mimi:
  • To every successful man, there is a very complicated woman who is causing a headache behind!. Bobi Wine
    ​

Elli nakuheshimu na umeongea kwa busara sana... Mimi sitakuwa na mengi lakini naomba kutofautiana na wewe kitu kimoja hasa kulinganisha mgogoro wa maamuzi ya ununuzi wa Plot, Gari na ugonjwa wa mzazi?? Kwa hapo Ndugu yangu Robby sijui Bobby angalia .......Kilichobaki ni wewe wengi wameongea na wameleweka.
Hakika Ugonjwa ni Ugonjwa Mzazi ni Mzazi hapatikani mara mbili, wewe usiye nifaa muda mbele ya wazazi wangu hutanifaa nikiwa sina pa kuegemea.

MWISHO WANAWAKE WENGI WANA TABIA HIYO KIKUBWA JAPO WANALILIA KUOLEWA LAKINI ROHO YA UBINAFSI WANAZO SANA NDICHO CHANZO CHA MIGOGORO MINGI KWENYE MAHUSIANO. TUMEAMBIA NI SEHEMU YA MBAVU ZETU LAKINI BIBLIA ITAKUWA ILIKOSEA.
 
Hata mimi nimempenda huyo aliyekukopesha hela, yule mwingine jini gari linamuongoza na kuna uwezekano likamtokomeza kuzimu.

Kwa kigezo hiki kimoja mchumba kajifelisha mwenyewe asimlaumu mtu.

Mi naona akae chini afikirie nini cha kufanya coz wanawake ni wagumu sana kuwaelewa. Huyo aliyemkopesha pesa anaweza kuwa ni shetani mara tatubya huyu wa sasa ukute yeye anataka ndoa tu na amuharibie mwenzake ila akishaingia kwa ndoa ndio atatoa makucha yake. Be careful kijana unaweza ukaruka majivu ukakanyaga moto!
 
Mkuu mimi ni mzoefu sana hapa MMU nakupa GO AHEAD OA,achana na hao ma monsters ,tena naomba unitumie kadi ya huyo bibi harusi mpya nikuchangie laki
 
Kirahisi namna hiyo? Hapo hapo kazini unamwacha mmoja ili uchukue mwingine? Huyo wa pili hakujua mipango yenu siku zote hizo?
Ungesema unamwacha wa kwanza harafu uanze mkakati mwingine sehemu nyingine ingeleta maana zaidi.
 
Back
Top Bottom