Fuliji la kamongo waliochacha😂Unakuta mwanamke anaenda lodge, haogi vizuri, haji na mafuta, anaogea tusabuni twa gesti, anaenda mapokezi kuomba mafuta, anajinyunyiza na pafyumu ya kupima ile ya elfu kumi. 😁
Anakuwa kama friji la chafu, ukilifungua nyumba nzima inanuka. 😁
Dogo kaogeMtaalam kama mtaalam
Pacha manenoHarufu mbalimbali, watu wachafu sana..!!
HawaogiWatu wana ujasiri sana🫢
Kujitia nuksi tu🤦🏽♀️Hawaogi
KabisaKujitia nuksi tu🤦🏽♀️
Kuna dogo nilimuazima subaru langu karudisha lina hayo makitu nyuma ya siti sad mnoKujitia nuksi tu🤦🏽♀️
Manini hayo woiiii🤢🤢Kuna dogo nilimuazima subaru langu karudisha lina hayo makitu nyuma ya siti sad mno
Nitatoa somo sina hiyana😂
Janaba kwa Kiislamu sio harufu, hata ukijindondishea tone tu la shahawa au ukigusa tu Ute kutoka uke wa mwanamke hiyo tayari janaba.Kuna watu wanajanaba hata ikoge vipi halitoki kwa siku moja. Unajiuliza yule ni mtu au mfu kudadeki.
Wahindi na wachina wachafu sana wanaoga mara moja kwa wiki na wengi wana mikono ya sweta mgodi wa uchafuWahindi ndio najua kuna mda manukato yao yananuka kwa sababu wanatumia sandalwood , Inasemekana mda mwingine yanakaribisha chawa , ila kwa usafi waarabu wapo vizuri