Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

Napenda ile harufu inayotoka kwenye mchanga mvua ikinyesha
Napenda ile harufu ukiingia stationary inavonukia

Hiyo ya kwanza ndio naipenda sana natamanigi hata nikachote huo mchanga niule
 
Harufu ya Diesel iliyochomwa kwenye Scania 113 iliyotoka safari ndefu
 
Back
Top Bottom