Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,361
- 10,422
Labda muhamie kwa MbappeHizo ndoto tunazo iLa Daah 🙌🏾
Labda muhamie kwa MbappeHizo ndoto tunazo iLa Daah 🙌🏾
Huyo ni Mwanetu tunasimama na mbuzi kwanza wapili yeyeLabda muhamie kwa Mbappe
Ndo kinachofuata sasaHuyo ni Mwanetu tunasimama na mbuzi kwanza wapili yeye
Wewe ni familia, bila shaka ww ni team G.O.A.T Messi.. yaani ukitaka kuwagonga unaenda specifically uzi flani... Mi nilikua nashauri ikiwezekana kwa sasa hv mods wazifunge nyuzi zingine ubaki huo mmoja ili tuwajambishe vizuri..Mods unganisha nyuzi hizi
Yaani kama Ronaldo angekuwa humu ndani sijui ingekuwajeWATU MAARUFU WANAKAZI
MajangaYaani kama Ronaldo angekuwa humu ndani sijui ingekuwaje
Messi alivyobeba World cup 2022 topic ya nani G.O.A.T ilikufa kifo kibaya!Hakuna mtu mule Tulikuwa tuna waambiaga kitambo
Yule alikuwa ana force upinzani na Messi ili aendelee kizungumziwa na apate buster kibiashara but kiuhalisia hamuwezi Messi hata robo
Lakini kwa upande wa Kane akiipata hii habari si itampa motishaMajanga
Mfano ww ni maarufu watu wanaanza kukucompare na vitu visivyo vya msingi. Huku ww unateseka na mipango yako na watu wanachukulia kama entertainment
Yeah sureMessi alivyobeba World cup 2022 topic ya nani G.O.A.T ilikufa kifo kibaya!
YpLakini kwa upande wa Kane akiipata hii habari si itampa motisha
Peter Shilton is the oldest Englishman to ever play in a FIFA World Cup.Hongera yake.
Mimi sio Mungu.
Lakini haya yatakuwa mashindano yake ya Mwisho ya Fainali za Kombe la Dunia.
Muingereza hawezi kucheza Akiwa na Miaka 36,37.
Ni timu gani inayoweza kucheza fouls ndani ya penalty area mara 12 kwa mechi moja?Utashangaa R7 ana suprise dunia kwa kupiga goli 12 peke yake awafunge mdomo
Huyo Takataka Mbappe asilinganishwe na Messi. Messi akiwa na umri wa Mbappe alikuwa amesha-achieve vingi sana ambavyo Mbappe haja-achieve.
Na Penaldo unamuona wakati gani migo?Mi namuonaga wakati wa kufunga tu
Mawao ya kufikirika tu 😁Ni timu gani inayoweza kucheza fouls ndani ya penalty area mara 12 kwa mechi moja?
Vipi baada ya kuanguka hakudai wapewe tuta?Kuna hyo mpira ulimpiga ngwara akaanguka mwenyew hadi beki wa congo ikabid acheke
"Mbuzi" akikosa majani hula kinyesi chake.Kwa hyo amehama kweny roto ya kufunga kwa ku struggle anataka ya penalt?
Mbappe alikuwa anamuona Ronaldo kama GOAT lakini kwa sasa mwenyewe amekiri kwamba captain wa Albiceleste,El Mesías ni balaa.Huyo ni Mwanetu tunasimama na mbuzi kwanza wapili yeye