Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 903
- 1,317
Cristiano Ronaldo sasa amefikisha mechi 10 mfululizo kwenye michuano mikubwa bila kufunga bao baada ya mchezo wa Portugal dhidi ya DR Congo ⚽🔥
CR7, Mnyama wa Madeira, Captain Fantastic, Mr. Champions League na The Portuguese Machine bado anaendelea kusaka bao utafikiri kama amelipoteza 😅
Cha kuogopesha zaidi:
Wakati huo huo kule La Pulga mwenyewe anaendelea kupiga magoli World Cup akiwa na umri wa miaka 38 na kuvunja records mbalimbali 🔥
Kibaya zaidi ni kwamba mzee wa “Siuuu” siku hizi anakosa hata shot on target moja 😃

- Ana miaka 41
- Goal drought imefika mechi 10
- Penalties hazipatikani tena 😅