Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 925
- 1,363
- Thread starter
- #41
Harry KaneYupi?
Ndiyo kazi yake migo.Harry Kane
Mbona kuna msimu alimaliza top kwenye ufungaji na kwenye assists pia pale England?Harry Kane
Uko sahihi na huyo Penaldo anaweza msuprise mtoa mada maana yule hatabiriki.Hongera yake.
Mimi sio Mungu.
Lakini haya yatakuwa mashindano yake ya Mwisho ya Fainali za Kombe la Dunia.
Muingereza hawezi kucheza Akiwa na Miaka 36,37.
Mi namuonaga wakati wa kufunga tuMbona kuna msimu alimaliza top kwenye ufungaji na kwenye assists pia pale England?
Baada ya kutupia mabao mawili jana dhidi ya Croatia, Harry Kane sasa amefikisha mabao 10 ya World Cup na kumuacha Cristiano Ronaldo mwenye mabao 8 😅🔥
Kabla ya World Cup hii kuanza wote walikuwa sawa na mabao 8 lakini Hurricane mwenyewe kaamua kutemana na Penaldo fasta tu ⚽🔥
Captain Kane, Goal Machine wa England, Sniper wa Bavarians, Number 9 wa Three Lions,The Hurricane anaendelea kufanya mambo kimya kimya huku records zikiongezeka 😅🔥
Kane kafikisha mabao hayo ndani ya:
-World Cup 3 tu
-Mechi 12 pekee 🔥
Wakati huo Cristiano Ronaldo:
- Amecheza World Cup 6
- Zaidi ya mechi 25
- Lakini bado amebaki mabao 8 😅🔥
Cha kuogopesha zaidi:
- Kane bado ana miaka 32 tu
- Anaendelea kufunga
- Na bado ana nafasi kubwa ya kuongeza numbers zake 🔥
Kwa sasa Cristiano Camel anaonekana kujivunia zaidi kuwa mtu mwenye followers wengi zaidi mitandaoni 😅🔥
Kuna hyo mpira ulimpiga ngwara akaanguka mwenyew hadi beki wa congo ikabid achekeJana jamaa alikuwa anazurura tu ili akisubiri penalty nne zipatikane apige zote amzidi Messi, ila ndio hivyo wacongo wakawa hawawakati kwenye boksi
😁😁😁Tatizo lako unachamba sana ila ki ukweli japo ni ngumu kumeza Ronaldo ameisha
Pia nilitaman aanzie tu benchi aache madogo wacheze
Muda wenu wa kutamba
Acha basiii 😄Kuna hyo mpira ulimpiga ngwara akaanguka mwenyew hadi beki wa congo ikabid acheke
Hakuna mtu mule Tulikuwa tuna waambiaga kitamboMuda wenu wa kutamba
Dah 😄Sasa akianzia bench halafu zikapatikana penalties muda ambao yeye yupo sub itakuwaje migo?
Huoni kama atapoteza nafasi za bure za kufunga?
Halafu kichwa cha habari kiwe uzi maalum wa kumsimanga RonaldoMods unganisha nyuzi hizi
Kabisa mkuu mashabiki wa cris tukiwa hatuna stress tuwe tunapitia huko kutafuta stressHalafu kichwa cha habari kiwe uzi maalum wa kumsimanga Ronaldo
Yanaweza kutokea ya kutokea halafu badala yake mashabiki wa Ronaldo wakaja kuukebehi uzi na mashabiki wa Messi wakakimbia uzi waoKabisa mkuu mashabiki wa cris tukiwa hatuna stress tuwe tunapitia huko kutafuta stress
Hizo ndoto tunazo iLa Daah 🙌🏾Yanaweza kutokea ya kutokea halafu badala yake mashabiki wa Ronaldo wakaja kuukebehi uzi na mashabiki wa Messi wakakimbia uzi wao