Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,702
- 19,939
Unachamba sana 😂 acha niishie hapa kwa Leo muda wako wa kutamba huuSasa akianzia bench halafu zikapatikana penalties muda ambao yeye yupo sub itakuwaje migo?
Huoni kama atapoteza nafasi za bure za kufunga?