Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 925
- 1,363
- Thread starter
- #81
Ballon d'or za kutosha.yah, Kama world cup
Ballon d'or za kutosha.yah, Kama world cup
Yafute hayo mawazo haraka🤣Mawao ya kufikirika tu 😁
Mbappe bado hafiki kwa Messi acha kukaza fuvu.yah, Kama world cup
Mbape anaweza kumfikia na kumpita Messi kwa idadi ya magoli WCMbappe bado hafiki kwa Messi acha kukaza fuvu.
Duh!...Ni Wewe na CR 7 tu....😃😃
Muite The GOAT of Instagram.Duh!...Ni Wewe na CR 7 tu....😃😃
Kane yupo Bayern Munich Ujerumani na huyo mwingine yupo Saudi Arabia Al Nassr.Hivi kwenye ligi yupo kwa Sasa wapi