Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

kwa jana pekee, cash zilikusanywa bei gani? mie nilitupia via M PESA
 
Sijawahi kuumwa roho kwasababu yeyote zaidi ya kufiwa na kuumwa..sasa umejuaje nimeumia?

Nashangaa watanzania watakavyoliwa mapesa (anyway imekuwa kawaida alianza babu wa lloliondo)..sasa cdm eti ukombozi..

Ukombozi hauletwi na mtu wala chama bali wewe mwenyewe mkuu..hiyo michango inafazili miradi (chopa) wenye chama..wewe endelea kusubiri ukombozi hadi kiama utakuwa hujakombolewa hadi ujikomboe mwenyewe..stuka..

CHOPA ANATOA NDESA PESA kama anavyojiita yeye mwenyewe, labda mrusha chopa wake ndiye anayelipwa, na mzee NDESA PESA aliwauliza wanataka achangie sh. ngapi? Waandishi wa habari Salum Mwalim, Golding Gondwe na Anjelo Moleka wakataja mil. 20,000,000 na akaidhinisha kutoa kiasi hicho huku akiahidi kuchangia zaid na zaidi mpaka chama kisimame
 
huyo ni wa pwani mkuu..

hawezi toka magharib kwa kina Zito, Machal, mkosa mali na kafulila, huyo atakuwa wa kanda ya kati kuanzia tabora, singida, dodoma na moro. Au hata kusini kama ulivyosema lakini si mbeya kwa kina sugu na silinde
 
ukombozi ni kwa kutembeza bakuli, tena naomba hili bakuli litembee nchi nzima kama mwenge wa uhuru, nchi hujengwa na wananchi na siyo kikundi kidogo cha watu

bravo CDM
huo ndio ujinga wa kuzaliwa siku za karibuni. unamdanganya na ni kwa upuuzi huu wakati magamba tunaona wivu kwa vuguvugu hili la wenzetu wa magwanda? zamani kabla hujazaliwa tulikuwa tunatembeza bakuli hata kwa kugharamia ziara ya mwenyekiti wa chama kutembelea matawi ya vijiji hata vilivyo karibu na makao makuu ya chama wilaya. hivo hivyo akija mgeni toka mkoani na taifani na huku chama kilikuwa kimoja na kauli mbiu ya chama kushika utamu.

kwa hiyo hilli la chadema wewe lipotezee kama limekuuma kama anavyosema masanja mkandamizaji.
 
Hakika haijapata kutokea.Na umri wangu nilio nao sijawahi shuhudia kilichofanywa na CDM leo.Halafu wanatokea Manyang'au wanawabeza majabali Mbowe na Slaa.Narudia kusema kwamba namuomba Mungu wangu anipe maisha marefu nimshuhudie Dr Slaa akiapishwa kuwa Rais mwaka 2015.Baada ya hapo Roho yangu inaweza kwenda kwa amani.
 
hii sadaka ni kwa ajili ya kanisa na watu wa kaskazini
Wewe mchawi! Umefumbwa macho kiaisi cha kutoona hata punje ya ukweli. Pepo la upofu ndani ya mtu huyu na wenzake wa jinsi hii toka katika jina la Yesu!
 
hawezi toka magharib kwa kina Zito, Machal, mkosa mali na kafulila, huyo atakuwa wa kanda ya kati kuanzia tabora, singida, dodoma na moro. Au hata kusini kama ulivyosema lakini si mbeya kwa kina sugu na silinde

mkuu watake radhi watu wa Moro na Singida,kumbuka huko ndiko kina regia(r.i.p) na tundu watokako,na mwitikio wao wa kimageuzi sasa ni wa hali ya juu,kumbuka hata Mwanza ilikua ngome ya c.c.m lakini walipo amua kugeuka wakageuka kweli!ipo Mikoa ya kubeza lakini si moro,singida na hata Tabora
 
Sijawahi kuumwa roho kwasababu yeyote zaidi ya kufiwa na kuumwa..sasa umejuaje nimeumia?

Nashangaa watanzania watakavyoliwa mapesa (anyway imekuwa kawaida alianza babu wa lloliondo)..sasa cdm eti ukombozi..

Ukombozi hauletwi na mtu wala chama bali wewe mwenyewe mkuu..hiyo michango inafazili miradi (chopa) wenye chama..wewe endelea kusubiri ukombozi hadi kiama utakuwa hujakombolewa hadi ujikomboe mwenyewe..stuka..

"Hatuwezi kuleta mabadiliko
ya kweli kama vijana wetu
wataendelea kufikiria kuwa
wao ni watumishi wa
mafisadi na vijakazi wa
mfumo wa kifisadi! Ni mpaka hawa wafunguliwe ndio
tutaweza kuona mabadiliko
ya kweli!"

By M.M.MWANAKIJIJI
 
Hiyo ni siri ya watu wawili..M&S, labda system analyst wa CDM anaweza kuambiwa na S. Nyie public hamhitaji kufahamu!
Jamaa limejawa na wivu halijalala usiku kucha kisa CDM imekusanya bilioni kutoka kwa wenye chama chaon yaani wananchi wa pande zote na dini zote Tanzania. Amka Rejao, thamini utu wako kwa kujiunga na chama kinachokubalika kwa wananchi na sio chama chako kinachokataliwa na wananchi kwa kasi
 
umemaliza kila kitu
 
Wajameni, mpesa inanigomea mpaka sasa "huwezi kutuma pesa kwa CHADEMA ARUSHA" hi ni hujuma? Tangu sa 2 jana mpaka sasa. Aghrrr! Au ac yao imejaa? Kwani ac ya mpesa ina limit? Viongozi mfuatilie hili mtupe taarifa ya hili!
 
Limit ni obvious mkuu. Nadhani watu wamehamasika sana na wanatuma fedha kwa kasi halafu CDM wanachelewa kuwithdraw
 
Yawezekana wakasema mengi kwa sababu wamewahiwa!

Kile kiwanja cha naura kilikuwaga cha ofisi ya m.a.ga.mba sijui itakuwaje. Mmeku Mrema kaangalie hiyo hati ya kiwanja isije ikawa kama sambala lodge ya kule iringa mzee wa sambala aliambiwa lodge yake ilikuwa uwanja wa kufundishia mbwa wa polisi hivyo abomoe
 
Angelo kasema maeneo kadha kwa kadha umeme umekatwa

Hata sisi huku kwetu kamanda Mbowe alipoanza tu kuhutubia UMEME ukakatwa. Umerudisha baada ya function kuwa imekwisha. Je kutakuwa na kipindi cha marudio? lini na saa ngapi? Furaha yangu ni kwamba nimeweza kuichangia CDM na kwaama maana hii sitakubali kura yangu kuibiwa 2015. Nitailindi KURA YANGU kwa NGUVU zangu zote na kwa AKILI zangu zote. Shetani kwangu hana nafasi tena, nimemkataa shetani na mambo yake yote. Eeeeh Mwenyezi Mungu nisaidie.
 
Ili kuweza kuhoji matumizi sahihi ya chama lazima pawe na chanzo ambacho ni hicho,lamuhimu ni kujenga taabia ya kuchangia maendeleo ya chama ili wale wanafiki wa demokrasia wajue demokrasia ya kweli.CHANGIA CHADEMA CHANGIA DEMOKRASIA CHANGIA UKOMBOZI.
 
Changeni wakuu (wajinga ndio waliwao)..

Mkishachanga na arumeru mkapata 28% vs 72% msije hapa na hoja muflis..oh hatakuwa na hela kama ccm ok?

Msisahau kuuliza matumizi yake..(kukodisha chopa ya ndesamburo kwa fee kubwa); aisee wachaga wana akili ya pesa..
Tatizo lako wewe mtumbatu ni ufinyu wa akili yako, na bahati mbaya sana kwako ni kuwa hujui kama unauwezo mdogo sana wa kuchambua mambo. uwezo wako ni kushawishiwi vijana wa kiislam kuukumbatia ujinga na umaskini!
 
Back
Top Bottom