Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,738
mkuu umechangia?Wanaelewa tu wachache wanaofahamu kutafuta value ya kitu!
mkuu umechangia?Wanaelewa tu wachache wanaofahamu kutafuta value ya kitu!
Kwa sasa kinachoendelea ni makada na wanachama wakiingia katika ukumbi wakibadilishana mawazo.... Saa mbili kamili shughuli rasmi itaanza.
Television ya Star tv inaonyesha live kwa wale ambao hawataweza kufika hapa.
Utambulisho wa makamanda kutoka sehemu mbalimbali. Baada ya hapo Dr. Slaa naibu katibu mkuu CDM alioa hotuba fupi kama kawaida doctor wa ukweli akaanza na suala la Arumeru mashariki. Hujuma mbalimbali ikiwemo vituo bandi na TUME YA TAIFA KUPEWA AMRI NA KIGOGO WA MAGAMABA ATANGAZE MATOKEO FEKI. LUBUVA WATOFAUTIANA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI, AKASEMA SAFARI HII HAWATAKUBALI CCM MAGAMBA WAO NDIO WATAENDA MAHAKAMANI THIS TIME.
KAMANDA MBOYE AELEZEA KUHUSU MPANGO MZIMA WA {M4C} ''MOVEMENT FOR CHANGE'' MADHUMINI NI KUWAKOMBOA WATANZANIA KUTOKA KATIKA UMASKINI HUU UNAOSABABISHA NA VIONGOZI WACHUMIA MATUMBO MAGAMBA PART. NAKUSEMA MPANGO HUU NI ENDELEVU CHAMA KIJENGWE NA WATU PEOPLES POWERSS CHAMA MIKONONI MWA UMMA. FEDHA HIZO ZITAKAZOPATIKANA ZITATUMIKA KUKIJENGA CHAMA NA KUTOA ELIMU YA URAIA KUHUSU KATIBA KATIKA KILA KATA TANZANIA. ''KAMA MNAOGOPA SISI TUNATANGULIA WENGINE MTATUKUTA'' KAULI YA MHE. MBOWE KWA WALE WANAOGOPA KUCHANGIA KWA SABABU YA SERIKALI NA CHAMA MAGAMBA KUWAFILISI ASEMA WAIGE MFANO YA VIONGOZI WA CDM AMBO NI WAFANYA BIASHARA WAKUBWA TU. MSIOGOPE M4C NI MUHIMU.
Nimemsikia Mbowe akisema kuwa wanazo taarifa CCM wanaanza kutishia kuwa watafuta utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. Rohoni kwangu natamani wafanye hivyo - tena haraka. Wafutilie mbali ruzuku halafu waone jinsi mnara wa babeli utakavyoonguka kwa kasi. CCM -chama cha posho wataishije?
Nimefika nyumbani saa 3.00 usiku huu, nikitokea Nairobi kumwona Kijana wa ndugu yangu aliyepata ajali ya gari, pamoja na kumwona daktari wangu. Sitaweza kufika ukumbini, lakini kama Muasisi wa Chadema nachangia Shilingi Milioni Nne.
Hiyo movement yao ingekuwa imefanyikia mikoa ya Lindi, Mtwara,mkuu umechangia?
Hakika haijapata kutokea.Na umri wangu nilio nao sijawahi shuhudia kilichofanywa na CDM leo.Halafu wanatokea Manyang'au wanawabeza majabali Mbowe na Slaa.Narudia kusema kwamba namuomba Mungu wangu anipe maisha marefu nimshuhudie Dr Slaa akiapishwa kuwa Rais mwaka 2015.Baada ya hapo Roho yangu inaweza kwenda kwa amani.
Namba za kuchangia ni 0757 755333,0763 744334 - MPESA
Hiki chama kimeisha filisika aisee na huu ufisadi wa mabilioni ya sabodo na ruzuku ndio umewafikisha hapo kutembeza bakuli
hii sadaka ni kwa ajili ya kanisa na watu wa kaskazini
Ukumbi ni wenu sasa mnaweza hata kugalagala wanamme wameshamaliza.Hiyo movement yao ingekuwa imefanyikia mikoa ya Lindi, Mtwara,
Ruvuma au Rukwa ningeshiriki! Kwenda kufanyia kitu kama hicho nyumbani kwa CDM kumenidiscourage!
wamekaukiwa wanajaribu kutembeza bakuli, wanataka kushindana na CCM kwa pesa wataweza wapi!! CCM MASHINE KUBWA INASAGA NA KUKOBOA
alikuwa anajaribu kupotosha kidogo mana kwa taarifa yako ruzuku inatolewa na serikali sio chama