Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,052
- 18,012
Kuna omba omba wengi sana hapo mtaani, ni bora hiyo pesa ungeenda kununua mitumba ya nguo na kuwagawaia hao, ama ungewanunulia chakula kwa pesa hiyo.
Practice what you preach!! Je ccm wamewahi kufanya hivyo? Pamoja na kodi tunayowapa na zile wanazopora?