Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,095
- 43,307
Well... kitu kilichofanyika leo ni "a prelude to victory"...
[h=6]Kiukweli kama watanzania ni wazalendo na nchi yao. basi kauli za uongo zinapaswa kupigwa vita. Leo nashangaa kusikia kuwa nchi yetu haikuwahi kuwa na mshikamano, umoja, upendo na amani mpaka hapo ambapo CDM wamekuwa chama cha kwanza kuleta mshikamano hapa Tanzania, ninaweza kuita ni kauli dhaifu kwa kiongozi mkubwa kama yeye (Dr. slaa) unapo utangazia umma kuwa CHADEMA ndo chama cha kwanza kuleta mshikamano Tanzania, naomba tujiulize
1. Tanzania ilipataje uhuru wake bila mshikamano
2. Tanzania iliondoaje ukabila bila mshikamano
3. Tanzania ilishindaje vita vya Idd Amini bila ya mshikamano
... 4. Tanzania imeingiaje kwenye mfumo wa vyama vingi na uhuru wa kuongea(kuropoka, maana wengine wanaropoka tuu kisa yupo huru) bila mshikamano
5. Tanzania imetunzaje amani ya nchi yake bila mshikamano
Je kwa kipindi chote hicho mpaka leo watanzania wanaishije bila ya mshikamano
Je CDM imefanya kipi au imechukua lini madaraka mpaka imeleta huo mshikamano ambao nchi haukuwa nao????????????????
kwa hoja na sio ushabiki naomba kusaidiwa
najua waropokaji watakuja na kuanza kudai oh katumwa. Mimi ni msomi najitambua hivyo sin jinsi ya ya kumfanyia kazi mtu mwingine. but nahitaji kuyajua haya tu.
[/h]
There are currently 670 users browsing this thread. (159 members and 511 guests)
arumeru kama igunga na uzini,chapa mboko za mgongoni wachaga hao
Hapo Mama Junior anafurahi tu mpunga umeingia, Baba Junior anapiga hesabu ya kumalizia jumba lake la kifahari Kunduchi Beach watu wanachangishwa pesa bila kufahamu zinakwenda wapi CDM bhana.
Asante! Aluta continua! M4C... Chadema daima.
Mkuu ametoka kwenye kampeni so yuko very exhausted sana..Movement iko poa,ila confidence ya Nassari iko down leo.
huyo ni wa pwani mkuu..Harambee hii inafanyika Kaskazini kwa sababu ni moja kati ya maeneo ambayo raiya wake wamejikomboa kifikra.
Harambee hii inafanyika usiku kwa sababu mchana watu wengi wapo makazini/shuhulini kwao wakitafuta hizi pesa za kuchangia usiku huu.
Samahani, Eti kwako ni magharibi au kusini??
Kachanwa na makamanda ebo!!kachanwa live na nani mbona mnaleta habari kama magazeti ya shigongo?
huyo ni wa pwani mkuu..
Changeni wakuu (wajinga ndio waliwao)..
Mkishachanga na arumeru mkapata 28% vs 72% msije hapa na hoja muflis..oh hatakuwa na hela kama ccm ok?
Msisahau kuuliza matumizi yake..(kukodisha chopa ya ndesamburo kwa fee kubwa); aisee wachaga wana akili ya pesa..
Hii movement inawatesa wengi sana.
Kinachowaumiza kichwa nyinyi wadhalimu ni huu muitiko unavyokua na level ya kitaifa na sio kichama.
Kuchagua/kuchangia CDM ni kufikisha ujumbe kwa watawala kuwa tumechoka kunyanyaswa na mkoloni mweusi.
Umechangia ngapi wewe mwenyewe mkuu?
Hii movement ina muumiza nani? (acha utani mkuu); hizo pesa za ndesamburo, wewe unafikiri kuwa na helikopta bila kazi inalipa??
Umechangia ngapi?
Ninachokichanga kitabaki kuwa siri daima.
Sasa kwa nini roho imekuuma namna hii kuona raiya waliojikomboa kifikra wakichangishana kwa ajili ya kumpambania mjukuu wako mnayemsiliba na wimbo wa maisha bora??