Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

Go ! Go! For redemption
May God bless Cdm and all their supporters. "Debit Cdm, credit CCM".
 
afadhali itumike kwenye chopa inayozunguka kuelimisha kuliko wanavyo fanya ccm kujaza matumbo utafikili wajawazito

Mkuu,hapo tuko pamoja.Hebu wahi kwenye fund raising utupatie updates,minute to minute
 
Kwa walio mbali na hawataweza kifika hapo Naura kuna namna yoyote ya kutuwezesha kuchangia, toeni utaratibu makamanda. Pipooooooooooooz!
 
tunawaunga mkono mmewashika mnawakimbiza na wamesambaratika vbaya, wamechanganyikiwa na kila anayekismea chama anaishia kutukana asiyewajua
 
ukombozi ni kwa kutembeza bakuli, tena naomba hili bakuli litembee nchi nzima kama mwenge wa uhuru, nchi hujengwa na wananchi na siyo kikundi kidogo cha watu

bravo CDM


Ni idea nzuri naunga mkono nchi yetu itakombolewa na sisi wenyewe
 
Wakuu salamu, kwa wale ambao hawakuweza kufika ukumbini. Ndo mchakato unaanza kama mlivyosikia kwenye vyombo vya habari. Fuatilia Star TV.
 
Wakuu salamu, kwa wale ambao hawakuweza kufika ukumbini. Ndo mchakato unaanza kama mlivyosikia kwenye vyombo vya habari. Fuatilia Star TV.

Hiki chama kimeisha filisika aisee na huu ufisadi wa mabilioni ya sabodo na ruzuku ndio umewafikisha hapo kutembeza bakuli
 
Wakuu naomba kuuliza; hivi hii fund-raising ni kuisaidia Chadema katika eneo gani hasa? Kwa ajili ya uchaguzi wa Arumeru Mashariki? Matumizi ya kawaida ya chama kama mishahara, posho, n.k.? Miradi ya chama kama kujenga au kuboresha ofisi na miundombinu mingine kama magari, kile chuo tarajiwa cha "maadili ya uongozi", n.k.? Au ni kwa ajili gani hasa? Tafadhali nijuzeni.
 
Hawa jamaa wamechoka ile mbaya hadi sasa wana tembeza bakuli, igunga walikuwa na pesa za wafadhili wanagawa ccm 30000, cdm 20000, utaweza wapi kushindana na ccm wanapesa za mafisadi, hao wa meru maisha yenyewe magumu halafu uwakamue shilingi zao, halafu wakupe kura Mawe!!
 
Back
Top Bottom