NGENDA NGOLOMA
Member
- Feb 18, 2012
- 23
- 11
Mohammed Dewji ni kada wa CCM na alikuwa anatoa kwa chama tawala na hivyo hakuna kitu ambacho angehofia katika maslahi ya biashara zake zaidi ya kupata neema. Na kama hiyo haitoshi wote tunafahamu biashara za MO na uhusiano wake CCM. Hivyo kulinganisha sadaka ya Dewji na Ndesa ni sawa na kufananisha/kukutanisha mbingu na nchi, Mwanaume na mwanamke ungali unajua tofauti zaoHa ha haaaaa Tshs 20 million, ndio nyingi ? Nakumbuka Mh. Mohammed Dewji alikichangia chama chake Tshs 560million, sasa hapo kwa yeye tungesemaje ?