Happy Birthday The Finest

Wishing you all the best in the year to come.
May your days be filled with sunshine and beautiful colors.
And may your nights be filled with comforting dreams and wishes to come.
images
THE FINEST.
Cantalisia thank you for the warm wishes
 
Last edited by a moderator:
Siku na miezi imepita
Leo ni siku pekee katika maisha yako
Siku ambayo mama yetu mpendwa alikuleta duniani
Ni furaha yetu sote kusherehekea pamoja na wewe na kukupongeza kwa siku hii njema katika maisha yako
Siku ya kukumbuka kuzaliwa kwako
Tunakuombea maisha marefu na yenye furaha Mungu akikutangulia katika yote
Happy Birthday Tripo9.

Hapo kwenye nyekundu, Asante Mr Rocky, ni siku njema kweli kwangu na wrinkles ol ova ma face. I say again, Asante sana
 
Mkuu hongera kuongeza namba za kuwepo duniani...

Happy birth day the finest. Mi nlidhani anapunguza namba za kuwepo duniani?! Hii itamfanya ajirudi kama amepotea. Kuliko kusema ameongeza namba za kuwepo duniani, japo mantiki ni ileile lakini........
 
Happy Birthday Slogan partiner!

Unataka shughuli ya kualika akina Mariah Carey [ale Kempsiky au mdumange kwa mama muuza?
 
Nimekuja rasmi kusherehekea hii birthday The Finest, baada ya sherehe kuisha narudi nilikokuwa!..

swahiba TF, klorokwini anajua mahali nnapopatikana kwa sasa hivyo biashara ikiyumba usisite kumwambia akulete niongeze mtaji.
sweetlady sasa hivi biashara niliyopata inalipa kweli nimefungua duka nauza dawa za kuongeza nguvu za kiume na kike swahiba mwambie swahiba wako klorokwini aje nimfundishe mbinu za ujasiriamali kwenye biashara hii
 
Last edited by a moderator:
sweetlady sasa hivi biashara niliyopata inalipa kweli nimefungua duka nauza dawa za kuongeza nguvu za kiume na kike swahiba mwambie swahiba wako klorokwini aje nimfundishe mbinu za ujasiriamali kwenye biashara hii
Hahaha! Kumbe umeacha kuuza Azam Cola? Kama ni hiyo kweli inalipa lol. Ngoja niwasiliane na Amyner aje amchukulie Erickb52, jana alipita kwangu akanambia wamehangaika bila mafanikio.

klorokwini kwasasa hawezi kufanya ujasiriamali kama huo manake ameula huko kwa Obama, akija atakuthibitishia na atakwambia amepata zali gani.
 
Swahiba sweetlady huyu klorokwini hajawa shoe shine wa Obama kweli..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom